Dah kweli wahuni wameanza kumtafuta, tamthilia iko poa mno. Yaani
yoga usirogwe kabisa kutoa contact zako, hili jukwaa la anonymous na hakuna haja ya kujulikana. Sisi wenyewe wana Lumumba hatujuani kabisa ila linapokuja suala la maslahi ya chama chetu tunakitetea bila kujali nitapata kitu gani, hata pamoja Dkt Magufuli hayupo lakini lazima tumtetee pale ambapo kuna upotoshaji hata Mama ni same hivyo hivyo we love her ila kutafuta umaarufu kwa kumchafua bosi wake aliyefariki akiwa bado bosi wake inaleta picha mbaya ya yeye kushiriki kumuua ili mafisadi watambe. So Mama anao muda wa kurekebisha in case akiona umuhimu ila humu lazima tuseme ukweli.