Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,551
- 10,798
Ila wewe dada kwa uandishi wako nimekufahamu kiuhalisia.Leta epsode mam mdogo, watu tupo tayari kutafuna matembele makavuu.![]()
Ila wewe dada kwa uandishi wako nimekufahamu kiuhalisia.Leta epsode mam mdogo, watu tupo tayari kutafuna matembele makavuu.![]()
Nimemwagiza ras simba aje anisaideHivi hiki kizungu Nacho kina codes zake maana errors ni nyingi sana ila tutaelewa tu maana mtunzi ananichanganya





pole mwayayoga na Tumia akili are in love.🥰😍♥️Ila wewe na Anko Tumia akili mnakabia juu sanaau ni mapacha ama ni mwili mmoja au ni mtu mmoja au basi ni Great thinkers
![]()
Ila wewe dada kwa uandishi wako nimekufahamu kiuhalisia.




hebu umenifahamu vipi? Nidokeze kwan eti. Wee mam mdogo vipi epsode bado? Nataman kusoma mie hapa uwiiih.


Nyuki wa yoga Eti!!Hujui kusoma kuelewa hadithi basi tulia. Nyie ndio wale wanaperuzi na macho na kuruka mengine. Na Dark days ndio kama ilivyo.
Tuma 1 sahivi, afu ingne baadae lol.Muda wakuendelea sasa!! Mida yetu ile ile usiku usiku tupate epsodes nyingine
Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Uandishi unafanana sana na binti mmoja nilikuwa nampenda sana na jina lake linaanzia na V. Niko sahihi??hebu umenifahamu vipi? Nidokeze kwan eti.
Huhuhuh
Yuleyule ulikuwa naye jana.😅😅
Uandishi unafanana sana na binti mmoja nilikuwa nampenda sana na jina lake linaanzia na V. Niko sahihi??




wee hebu kwan, V yupi? Nimepatia herufi ya kwanza ya jina? Tuanzie hapo.wee hebu kwan, V yupi?
Ooohhhppps mbna unaniogopesha lol.
Coca ukiipata code ya Tanzanite usinisahauUnknown tushampata.
Tanzanite anakuja na kupotea.
lainisha kidg code.
Umedanganya.♥️Ndyooo.
![]()