Ahaaa,m npo mkoani ndugu,ungekuwa karibu yangu ningekupiga pindi bure kabisa,wiki tu ungejua kila kitu mkuuNipo mbezi beach ndugu
Si rahisi Kama unavyodhani , jaribu ku hunt Nile sat , uone mziki wake , DStv mnazionea sababu satellite footprints zipo kwenye radius yetuKufunga madish ni rahisi kama kumeza mate, nitakupa mfano wa DSTV ile ukiipatia mguu wake tu haina shida kabisa kutafuta frequency.
Dish ambalo kidogo lina changamoto katika kutafuta frequency ni Continental tu.
Sjafundishwa na yeyote kufunga ni talent tu ambayo niko nayo toka nikiwa grade 7!
Kwangu mimi ni rahisi kushinda hata ninavyo zungumza kiswahili nina uzoefu wa miaka 13!Si rahisi Kama unavyodhani , jaribu ku hunt Nile sat , uone mziki wake , DStv mnazionea sababu satellite footprints zipo kwenye radius yetu
Ukowap mkuu?Hbr Wana jamvi!
Natamani Sana kujua kufunga madishi nimejaribu kutafuta wapi wanafundisha hii kozi kwa dar lakini bado sijapata, kwahiyo naomba anaejua wanapofundisha anielekeze au Kama Kuna fundi umu anifundishe mi nitamlipa.
Ku band dish 120cm, mna miezi Kama 5 CNN ina scratch labda unipe ushauri nifanyejeKwangu mimi ni rahisi kushinda hata ninavyo zungumza kiswahili nina uzoefu wa miaka 13!
Nilesat huwa inakupa tabu wapi wewe na huwa unatumia dish la aina gani?
Au measat au hatq apstar 7Si rahisi Kama unavyodhani , jaribu ku hunt Nile sat , uone mziki wake , DStv mnazionea sababu satellite footprints zipo kwenye radius yetu
Mbezi beachUkowap mkuu?
0677777896 fanya ivo ndugulete no yako nikuunge group la mafundi huenda ukang'amua kitu huko
Kaka wewe uko mkoa gani kama hutajali pengine wengine tunaweza pata fursa kama tutakuwa karibu mkuuAhaaa,m npo mkoani ndugu,ungekuwa karibu yangu ningekupiga pindi bure kabisa,wiki tu ungejua kila kitu mkuu
haha watu wanafanya maskhara na fringe reception, by the way measat ina channel gani nzuri mkuu?Au measat au hatq apstar 7
Ahaa,mi nipo maswa nduguKaka wewe uko mkoa gani kama hutajali pengine wengine tunaweza pata fursa kama tutakuwa karibu mkuu