Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,989
- 5,066
mapogolo unaijua katiba ya tz? Tusiwe tunachangia vitu tusivyo na uhakika navyo. Kuna taarifa kuzipata ni taabu hata katia? Ndo nyie kweli mtafanya mabadiliko yenye manufaa kwa watz? Katiba inasema uweze kusoma na kuandika kiingereza na kiswahili. Mbona kina lusinde,agripina,airo wamo humo,? Inaumiza sana kuona mtu ambaye ana access ya information hataki kuzitafuta. So painful!