Mkulu anadai 'ukuu wa wilaya hausomewi'!
mhhh. kazi kwelikweli, kama ni darasa la 7 kwelikweli atakuwa hata ung'eng'e haupandi! na ikitokea wakija wageni kutembelea wilaya yake kutoka ng'ambo atakuwa anawakimbia kama mshikaji wangu fulani ambaye ni mwenyekiti wa halmashauri na ni standard 7 lever anapatashida sana wakija wageni lazima atakula kona na kumwachia kazi makamu mwenyekiti wa halmashauri ambaye ni form 4 amsaidie kazi
Mbona mgombea umakamu wa Rais kwa tiketi ya Chadema mwaka 2010 alikuwa darasa la saba?.
.
"MADARAKA HUMBADILISHA MTU, YAPATE KWANZA NDIPO TUJUE TABIA YAKO".
Ndugu wana jamii katika kile kinachoonekana kulipana fadhila ndani ya serikali hii, aliyekuwa mbunge wa chalinze 2005-2010 RAMADHANI A MANENO, alishindwa vibaya kwenye kura za maoni mwaka 2010 baada ya kuwadanganya wapiga kura wake kwamba angejiendeleza kielimu,na hakufanya hivyo, mpaka anateuliwa mkuu wa wilaya ya KIGOMA elimu yake ni DARASA LA SABA_____________TAFAKARI.

Ndo maana amepelekwa KIGOMA,,,,,NO CHALLENGES OVA THERE

Wilaya ya Hanang tulikuwa na Mkuu wa wilaya anaitwa Mefunya.
Huyu mzee alikuwa hajui kusoma wala kuandika.
What is the Qualificatin requirements needed to become DC?