magessa78
JF-Expert Member
- Sep 28, 2009
- 270
- 31
mimi sioni kama kuna tatizo kumteua darasa la 7 kuwa mkuu wa wilaya.kwani ukuu wa wilaya ni kazi?!ni kijiwe cha fadhila tu..sioni kama mkuu wa wilaya ana kazi ya kufanya zaidi ya kumpelekea mkulu uongo.hata mtu akimaliza darasa la pili bado ataumudu ukuu wa wilaya barabara!sioni kama kuna tatizo hapo! Huenda akafanya vizuri kuliko ambao ni graduates.