Darasa la saba aukwaa u-DC

Ndugu wana jamii katika kile kinachoonekana kulipana fadhila ndani ya serikali hii, aliyekuwa mbunge wa chalinze 2005-2010 RAMADHANI A MANENO, alishindwa vibaya kwenye kura za maoni mwaka 2010 baada ya kuwadanganya wapiga kura wake kwamba angejiendeleza kielimu,na hakufanya hivyo, mpaka anateuliwa mkuu wa wilaya ya KIGOMA elimu yake ni DARASA LA SABA_____________TAFAKARI.

Kanyunyu acha kutumia makalio kuwaza/ kufikiri wewe, na nataka nikwambie wazi kuwa hakuna correlation relation kati ya elimu na utendaji
Maprofesa tulionao wametusaidia nini tanzania, kama siyo kutuibia tu! Angalia kagame anavyoijenga Rwanda anatofautiana sana na huyu ziro wenu anayekimbilia kuitwa dk kwa phd za kupewa. anamawazo mgando kama yako kuwa akiitwa dr basi atakuwa kama slaa kwasababu naye ni dr.
angalia maprofesa wanavyoshindwa kuongoza hata familia zao tu (tembelea vyuo vikuu uone familia za wasomi zilivyogawanyika), hujiulizi kwanini ndoa nyingi zinavunjika mijini kuliko na wasomi na si vijijini waliko darasa la saba na f4 wa kata? sasa mtu anayeshindwa kuongoza familia (mke 1, watoto 2, haousegirl 1, na mbwa, na kuku kadhaa) ataweza kuongoza watz?
 
Hata kama angekuwa na special talents,bado kwa elimu ya dar.VII Failure{maana alifeli kuenda seko},HAFAI kuwa DC huyu.His performance will remain 0.34% ya Undergraduate yeyote.Failure wa Univetsity sio sawa na huyo Maneno ninayemjua.Hiyo iko proven scientifically.
Aliyemwachia jimbo la Chalinze inasemwa sio good performer academically,na hilo limeodhihirishwa na failures zake ktk presidential roles.Hata hivyo,JK alifanya vizuri sana akiwa mnunge wa Bagamoyo na then Chalinze.Huamini?Angalia maji yanavyotiririka mabombani toka Wami,Lugoba,Msoga,Chalinze hadi Mdaula.Yaangalie maghorofa pale njiani karibu na Mdaula.
Chezea university degree weye!!!!????
 
Maku kivuzi!
Wazanzibari watakombolewa immediately after 2015, there after 2kshasherekea the new yr 2016 harakati mpya na wakombozi wapya wa Tanganyika 2taingia kazini kudai ukombozi toka kwa makaburu weusi(CCM).
Tutapgana till the last drop of our blood aiming to get the true vision, colour, direction, rich status, beloved n natural land with blessed minerals of every kind!
Yemamaku we gonna destroy evry one, haijalshi ni ni CCM, POLICE,JWTZ na wangese wote!
 
Back
Top Bottom