Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

habari, mi nataka kujua ukinunua simu mpya hizi za android unatakaiwa ukae nazo kwa muda gani km haisumbui hata mpk ubadilishe nyingine? na je ukikaa nayo miaka minne bila kukuletea shida je kuna tatizo?
halafu mf. simu imebadilishwa AC kuna shida kuendelea kutumia tena km haisumbui?
na je kuna mionzi kwenye simu za android? naomba kujua, asante.
 
Jamaa sijawahi kuomba msaada humu ila Leo yamenifika

Tekno K7 hina shida
Yaani laini namba 2 ambayo ni airtel haitoi out call nimejaribu kubadilisha hadi upande lakini wapi bado

Lakini hiyo laini ukiweka kwenye simu nyingine ni fresh unapiga kama kawa so, what reason behind please
 
Nina tecno k9 camera imegoma inaandika nifunge app zote zinazotumia camera (sijui ngeli nimejaribu) na nikiwasha kamera taa ya simu au flash light haifanyi kazi had ni restat ila nikipigiwa kwenye video call inafanya kazi ila kwa ubora wa chini tofaut na mwanzo

Naomba msaada kwa hili.

Qn
 
Jamaa sijawahi kuomba msaada humu ila Leo yamenifika

Tekno K7 hina shida
Yaani laini namba 2 ambayo ni airtel haitoi out call nimejaribu kubadilisha hadi upande lakini wapi bado

Lakini hiyo laini ukiweka kwenye simu nyingine ni fresh unapiga kama kawa so, what reason behind please
Hebu restore kabla hujakutana na wapiga noti
 
habari, mi nataka kujua ukinunua simu mpya hizi za android unatakaiwa ukae nazo kwa muda gani km haisumbui hata mpk ubadilishe nyingine? na je ukikaa nayo miaka minne bila kukuletea shida je kuna tatizo?
halafu mf. simu imebadilishwa AC kuna shida kuendelea kutumia tena km haisumbui?
na je kuna mionzi kwenye simu za android? naomba kujua, asante.
Hizi simu zinatabia ya kuzima ghafla
Simu nikiishika huwa namshauri mteja auze haraka hata kama ni kwa hasara...maana kifuatacho ni kuuza kama spare.
Kwa hiyo yako uza ndani ya miezi 2
 
We vipi bos, fuata maelekezo had mwisho.
Nimeclick Allow imeandika kama ifuatavyo "Screen Overlay detected
To change this Permission setting,you first have to turn of then screen overlay from SettingOpen Settings,bado msaada wako nimhimu
 
Back
Top Bottom