Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

Hizi simu zinatabia ya kuzima ghafla
Simu nikiishika huwa namshauri mteja auze haraka hata kama ni kwa hasara...maana kifuatacho ni kuuza kama spare.
Kwa hiyo yako uza ndani ya miezi 2
dah! yaani km ulinitabiria ndugu, imezima ghafla jana jioni. nimetoka kubadilisha AC hata wiki haijaisha. basi tena. asante kwa ushauri.
 
dah! yaani km ulinitabiria ndugu, imezima ghafla jana jioni. nimetoka kubadilisha AC hata wiki haijaisha. basi tena. asante kwa ushauri.
Pole jamaa yangu. Hebu rudi tena kwa fundi..aguse guse kama ikiwaka uza
 
mbona easy tu.hapo mchawi ni hyo playstore.chakufanya download apk ya xender kisha install.baada ya hapo tafuta simu ya android ambayo inayo pia app ya xender.after that rusha playstore kutoka kwa kutumia xender kutoka kwenye hyp simu yenye playstore kuja kwenye hyo ambayo aina.aftre that install hiyo playstore.then izo content zengine za google utazi install.coz zote zipo kwenye playstore.100% hii trick inafanya kazi.na nimejaribu kwenye simu kama mbil zenye tatizo kama lako.na asahivi zote zinapiga mzigo fresh tu.no problem..asante
Simu huawei kutoka china hai suport google service,google play,youtube,google map, etc.watsap na instagram nmezipata apk.Msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah! yaani km ulinitabiria ndugu, imezima ghafla jana jioni. nimetoka kubadilisha AC hata wiki haijaisha. basi tena. asante kwa ushauri.
Nunua simu nzuri kama Infinix

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
 
Nina tecno k9 camera imegoma inaandika nifunge app zote zinazotumia camera (sijui ngeli nimejaribu) na nikiwasha kamera taa ya simu au flash light haifanyi kazi had ni restat ila nikipigiwa kwenye video call inafanya kazi ila kwa ubora wa chini tofaut na mwanzo

Naomba msaada kwa hili.

Qn
Aiseee jamaa kama tatizo ulitatuliwa please nisaidie hata mm simu yangu tatizo n hiohilo had sasa ni tecno K9

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemwambia anitumie simu na hajatuma

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
Mkuu samahani, nisaidie tafadhali. Nina TECNO F1, kama ujuavyo tayari wenyewe wamesha-install YouTube Go. Kwangu mm YouTube Go siipendi kwani hainipi option ya ku-coment. Nikijaribu ku-install YouTube ya kawaida ambayo inatoa option ya ku-coment inakataa ku-install kwenye kimeo changu hiko cha tecno f1. Naomba unisaidie maarifa ya kuweza ku-install app hiyo. Aksante.
 
Helloo
nina Samsung note 8, kila nikiweka kwa chaji inasema moisture have been detected in ua charger /USB port, so nisubiri ikauke, na kila nikiweka kwa chaji inapiga kelele za kwamba nitoe kwa chaji. so naichaji Vip!? Nai restart ikiwa imezima naweka chaji, so ikiwa inarestart inakubali
ni mwezi sasa iko Hivo, Je na solve Vip hii dizaini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nina simu yangu nokia 1 nahitaji niiroot lakini imegoma kabisa natumia kila app lakini wap(kingroot framaroot nk) lakini wap.... nitumie application ipi ili niweze kuiroot?
Hizo app ni za adroid nokia mpo uwe na kifaa kama magic na kable yake ndio unairoot

sent from toyota Allex
 
Wakuu Mimi ninatumia itel s11 lakini siku hizi inachukua muda mfupi sana kukaa na chaja. Swali langu ni je, nikinunua betri yake mpya nikaichaji mpaka full, inaweza kukaa muda mrefu kama ilivyonunuliwa na simu ikiwa mpya? Msaada...
 
Itel nao wana smartphone !??

Back
Top Bottom