Daraja lazamishwa baharini huko Baltimore- Marekani

Daraja langu la kwendea kula bata Fogo de Chao , The Bygone na viwanja vya Baltimore. Imeenda hiyo.

Baba Hunter kasema atajenga kubwa zaidi.
 
Wabongo bwana wape picha story watamalizia wenyewe. Taarifa kuwa meli ilizingua ilishatolewa mpema sema cost guard walizingua walitakiwa watume Tag boats kuidhibiti irudishwe bandarini wafanye repair kwanza badala ya kuacha bomu litembee majini
 
Kinachonisikitisha mimi hilo daraja ndani ya mwezi litakuwa limerudi ktk hali yake wakati sisi huku kwenye bara la giza watu wanakaa vikao kulipana posho kujadili ujenzi wa madaraja na hela zinatoka lakini hayajengwi na hata yakijengwa hayafananii thamani ya hela zilizotoka.
 
Na wenyewe wapambane sasa na hali yao. Maana hakuna namna yoyote ile ya kuwasaidia.
 
Back
Top Bottom