Mpui Lyazumbi
JF-Expert Member
- Sep 1, 2010
- 1,910
- 445
NSSF wamefanya yao hapo na kazi imeisha tayari, haya wengine kajengeni viwanda huko kigamboni acheni porojo humu ndani.
Hiyo sentensi ya mwisho CC ndiyo imenivunja mbavu, Yaani FaizaFoxy utamuona soon hapa jamvini na ujiandae.Aisee nashindwaga kujua amejitendenezea software ambayo ameintegrate na JF kuwa akitajwa tu imualert. Ukiangalia na ukimsikiliza vizuri Raisi utagundua alilenga mfuko gani wa jamii, ni wazi aliulenga mfuko wa NSSF na alilenga daraja la kigamboni aliloagiza lipewe jina la Mw.Nyerere.Na ukiwa mzalendo wa kweli Raisi yuko sahihi kabisa.Watu wamekazana kuwekeza kwenye madaraja na majengo ambayo return yake ni ndogo wanacha kuwekeza kwenye viwanda na miradi ambayo itainua uchumi wa nchi kwa haraka na kutoa ajira nyingi za kudumu kwa vijana. Ila hii miradi ya maraja,makalavati na majendo ina ulaji wa maana sana.
Kuna kiwanda cha maana utachojenga kwa billion 200 kama sio madaraja na makaravati tu? tutumie ubongo kidogo.
Hivi wale smooth talkers kabla JPM walikuwa na impact gani Tanzania? Magu oyee!Mheshimiwa huwa haangalii au hafikirii impact ya kauli zake.
Nazo zilikuwa Na impact kama za huyu tu ila zile zilikuwa za utani zaidi.........refer mimba Na kiherehere, stori ya mbayuwayu Na za kuambiwa.!Hivi wale smooth talkers kabla JPM walikuwa na impact gani Tanzania? Magu oyee!
Nimesikia kauli ya JPM katika sherehe za Mei Mosi akisema kwamba mifuko ya hifadhi ya jamii imekuwa ikijiingiza kuwekeza katika miradi ya ajabu ajabu. Akaendelea kushangaa kuwa badala ya kuwekeza katika viwanda vitakavyotoa ajira nyingi zitakazotengeneza wanachama wengi zaidi wa mifuko hiyo, unakuta eti mfuko unawekeza katika ujenzi wa daraja au karavati!
Najaribu kujiuliza tu, ni mfuko gani wa hifadhi ya jamii uliowekeza katika ujenzi wa daraja au karavati kiasi cha kumshangaza rais? Haya sasa, mimi nawaachia mjadala
cc Mohamed Said, Ritz, FaizaFoxy, AbasMzeEgyptian
Pia Ujiulize Serikali kuu yenye Kodi na vyanzo vyote vya mapato imeshindwa kuanzisha hivyo viwanda Pension Fund itawezaje?
Pili fedha za Mfuko wa hifadhi ya jamii ni fedha za watu walioweka akiba yao wakistaafu wanataka wakute pesa yao sio longolongo sasa inakufanya Investment hakikisha unachagua investment yenye low risk kama vile daraja ukija ku invest kwny high risk bsn ukipata hasara utawaeleza lugha gani members wakuelewe?[/QUOTE
Labda nikuulize miradi ya majengo wanayojenga wanajilipa vipi? Na hao wastaafu wanalipwa nini?, ujenge kiwanda cha Ku process chuma hasara inatokea wapi kwa taifa ambalo linaokoteza chuma chakavu kutendeneza nondo,
Kuna kiwanda cha maana utachojenga kwa billion 200 kama sio madaraja na makaravati tu? tutumie ubongo kidogo.
Nakubaliana na Magufuli, mifuko hii ya jamii lengo kubwa ni kuongeza idadi ya wafaidika yaani wanachama na sio faida maana uwekezaji huo hauongezi faida michango ya wanachama.
Kama wanaweza kuwekeza kwenye mabenki basi wawekeze mapesa kwenye viwanda ili vikuwe na kuongeza ajira ambako kutaleta wanachama wengi zaidi na uhakika wa maisha bora kwa RAIA wengi zaidi[/QUOT
Akisema yeye hakuna shida kwani atakuwa ameamua kujishusha. Lakini kama ulitaka kulinganisha na alichosema JPM, ulitakiwa kusema kuwa, hivi rafiki yako akuambie wewe kuwa umejenga kibanda Kinyerezi, utamuelewaje? Ni dhahiri kuwa nitaona amenidharau, kwani pamoja na juhudi zangu za kujinyima ili niwe na mahali pa kujihifadhi, anatokea mtu na kuniambia kuwa hiyo sio nyumba bali ni kibanda!Hivi rafiki yako akisema anajenga kibanda Kinyerezi unamuelewaje? Au akasema nimenunua kausafiri unaelewaje?
Sio Mara ya kwanza niara nyingi tuu. Ila pale anapokwenda arijojo lazima tuseme.Kwa mara ya kwanza umemsaupport Magufuri
Mkuu enzi Nyerere kulikuwa na viwanda vingi, sasa sijui unasubiri wataalamu wa aina gani na kuna watanzania wengi hatuna kaziMmh, hilo la kuanzisha viwanda bila utaalam/wataalam na utaalam wa usimamiz nalo ni tatizo kubwa. Ni afadhali kujifunza na kujenga uwezo kabla ya kuingia huko!
mifuko ya hifadhi ya jamii inaweza kununua hisa katika makampuni yenye biashara zenye uhakika na sio kuingia direct kwenye operations za viwanda.Kwa kweli kwenye swala hili mimi naungana na maghufuli, maana tuna tuna mgodi wa chuma kwanini tusijenge kiwanda ambacho kita process hayo madini mpaka kupata chuma pure, ambapo kiwanda kitakuwa na wafanyakazi si chini ya 1000, huku mgodi ukiwa na wafanyakazi si chini ya 1000, kwanza kama mfuko wa Jamii wale wafanyakazi anawafanya wanachama wake pili kiwanda badala ya kusafirisha madini ya chuma tunatengeneza chuma kabisa na kuongeza thamani, shaba toka Zambia na Congo zinapita hapa kwa nini tusitengeneze vinu vya Ku process hiyo shaba tukaanza kusafirisha waya na vipuri vingine badala ya kusafirisha shaba, kwanini tusijenge kiwanda cha kutengeneza vioo vya simu ili tusipeleke mchanga wa mabaki ya dhahabu ulaya?, kwanini wasiwekeze kiwanda cha matairi ili tuiuzie serikali na wananchi binafsi matairi huku tuwapa wakulima wetu soko la uhakika la zao la mpira
Kujidai unajua wakati wewe ni domokaya ni uhayawani!!Kuhusu lilijengwa kipindi cha yeye akiwa waziri hiyo kauli haina mashiko, kama una kumbukumbu kuna kauli aliambiwa "wewe ulitakiwa uje uliposikia kuna sherehe ya ufunguzi kwa kuwa ni waziri mwenye dhamana, Kijazi yeye alikimbizwa ubalozi wa India, Jamaa nadhani alipelekwa wizara ya kuhesabu samaki,Jiongeze kijana stori za kwenye vijiwe vya gahawa achana nazo, raisi anaposema waachane na ujenzi wa madaraja na makalavati je kigamboni sio daraja? na kama ni daraja kauli ya raisi hailihusu? Kuhusu kuweka commitment ni uwongo wa mchana kweupe dau mwenyewe alisema wazo lilitoka kwa mkapa na kikwete akaendeleza mbona hakumtaja magufuli? kuhusu daraja kutoa ajira halina mashiko pia kwa kuwa daraja linatoa ajira za muda mfupi na hata ajira za kudumu sio nyingi kama ambavyo kiwanda kitatoa, na daraja wafaidika wake ni wachache ukilinganisha na kiwanda kinachodhalisha bidhaa ambazo watanzania wote watzitumiana kufaidika, Unadhani siku ufunguzi wa daraja la Kigamboni ulikuwa mwenyewe au hotuba yake ulisikiliza mwenyewe?Na kama ni kweli raisi Magufuli atakuja vipi ponda wazo lake mbele ya umma? Fikirisheni akili kidogo hilo daraja lina mambo mengi kuliko unavyojua na kujidai kuleta misemo hewa ambayo haina mantiki. Vijana wengi siku hizi tunajidai tunajua wakati tunashinda kwenye pool table na hatufuatilii mambo kwa kusoma na kusikiliza vyombo mbalimbali vya habari na hii ndio imekufanya ukaja na story za kwenye pool table hapa.Pumbavu kabisa wewe.Kama hujui bora unyamaze. Kama ungejua daraja la kigamboni litaajiri idadi gani ya watu usingekubalu ujinga wa kuambiwa daraja la Kigamboni ndio karavati alilolizungumzia rais.Kama ungesikiliza hotuba ya rais siku ya uzinduzi wa daraja usingekubali upuuzi unaohusianisha Karavatina daraja la Kigamboni. Laiti ungefanya analysis na kujiuliza kama rais alifuta sherehe za uhuru na hakuna kwenda kupigiwa mizinga na gwaride lakini akakubali kwanda kufungua daraja, usingeshawishika kama mtoto anayepewa pipi eti rais alifananisha lile daraja na kalavati. Ungekuwana akili kidogo tu ungefahamu kuwa daraja lilianza kujengwa wakati rais akiwa waziri wa ujenzi na yeye ndiye aliyeweka commitment ya serikali kuhusu ujenzi wa hilo daraja. Kama lingekuwa karavati angeomba lipewe jina la Nyerere? Hata kama u mjinga kiasi gani kweli ndio hata jinsia yako uambiwe kama wewe wa kie au wa kiume? Mtu akikuambia kitu cha kijinga hukua akijua hicho kitu ni cha kijinga na wewe ukakikubali huku ukijua ni ujinga, atakudharau.