Hiyo sentensi ya mwisho CC ndiyo imenivunja mbavu, Yaani FaizaFoxy utamuona soon hapa jamvini na ujiandae.Aisee nashindwaga kujua amejitendenezea software ambayo ameintegrate na JF kuwa akitajwa tu imualert. Ukiangalia na ukimsikiliza vizuri Raisi utagundua alilenga mfuko gani wa jamii, ni wazi aliulenga mfuko wa NSSF na alilenga daraja la kigamboni aliloagiza lipewe jina la Mw.Nyerere.Na ukiwa mzalendo wa kweli Raisi yuko sahihi kabisa.Watu wamekazana kuwekeza kwenye madaraja na majengo ambayo return yake ni ndogo wanacha kuwekeza kwenye viwanda na miradi ambayo itainua uchumi wa nchi kwa haraka na kutoa ajira nyingi za kudumu kwa vijana. Ila hii miradi ya maraja,makalavati na majendo ina ulaji wa maana sana.
kusanya za makaravati manne na madaraja manne tuone kama hutajenga kiwanda.Kwanza kiwanda cha viatu, toothpick, vinahitaji kiasi gani kijana? kiwanda cha kusindika nyama, maziwa?kuprocess mazao ya shambani kama matunda? Wewe nae ndio haufikirii kabisa halafu unawaambia watu hawafikiri.Kuna kiwanda cha maana utachojenga kwa billion 200 kama sio madaraja na makaravati tu? tutumie ubongo kidogo.
Mkuu hapa limezungumziwa daraja la Nyerere tu ambalo ni billion 200+. Hakuna nchi inayoendeshwa kirahisi hivyo kwani katika kodi zetu tunazokusanya kwa mwezi hatufikishi 1 trillion? Utakimbilia kujenga viwanda wakati umeme wa uhakika wa kuendesha mitambo hakuna? tuna mengi ya kufanya kabla hatujakimbilia kwenye viwanda lazima tujenge miundombinu yetu vizuri itakayoweza kuendesha hivyo viwanda.kusanya za makaravati manne na madaraja manne tuone kama hutajenga kiwanda.Kwanza kiwanda cha viatu, toothpick, vinahitaji kiasi gani kijana? kiwanda cha kusindika nyama, maziwa?kuprocess mazao ya shambani kama matunda? Wewe nae ndio haufikirii kabisa halafu unawaambia watu hawafikiri.
Mbona zamani vilikuwepo na miundo mbinu hii hii tena duni kuliko hii ya sasa? Unajua hizi hadithi za vijiweni kwenye kahawa muiache humo humo. Usijaribu kuileta hapa.Mkuu hapa limezungumziwa daraja la Nyerere tu ambalo ni billion 200+. Hakuna nchi inayoendeshwa kirahisi hivyo kwani katika kodi zetu tunazokusanya kwa mwezi hatufikishi 1 trillion? Utakimbilia kujenga viwanda wakati umeme wa uhakika wa kuendesha mitambo hakuna? tuna mengi ya kufanya kabla hatujakimbilia kwenye viwanda lazima tujenge miundombinu yetu vizuri itakayoweza kuendesha hivyo viwanda.
Pamoja na kuwepo mbona bado hali ya maisha ya mtanzania yalikuwa magumu hayajawahi kutokea tokea Dunia iumbwe? Tuna viwanda vya nguo lakini tulivaa Mawingu na kaniki,tuna kiwanda cha ngozi ila tulivaa viatu vya matairi,tuna mashirika ya sukari ila tulinunua kwa foleni ivi unafikiri hao viongozi hawana akili wewe ndio unazo peke yako?Mbona zamani vilikuwepo na miundo mbinu hii hii tena duni kuliko hii ya sasa? Unajua hizi hadithi za vijiweni kwenye kahawa muiache humo humo. Usijaribu kuileta hapa.
Cha toothpick nadhani utatoa viwanda vingi sana hapo, maziwa, sabuni, etcKuna kiwanda cha maana utachojenga kwa billion 200 kama sio madaraja na makaravati tu? tutumie ubongo kidogo.
Hiyo sentensi ya mwisho CC ndiyo imenivunja mbavu, Yaani FaizaFoxy utamuona soon hapa jamvini na ujiandae.Aisee nashindwaga kujua amejitendenezea software ambayo ameintegrate na JF kuwa akitajwa tu imualert. Ukiangalia na ukimsikiliza vizuri Raisi utagundua alilenga mfuko gani wa jamii, ni wazi aliulenga mfuko wa NSSF na alilenga daraja la kigamboni aliloagiza lipewe jina la Mw.Nyerere.Na ukiwa mzalendo wa kweli Raisi yuko sahihi kabisa.Watu wamekazana kuwekeza kwenye madaraja na majengo ambayo return yake ni ndogo wanacha kuwekeza kwenye viwanda na miradi ambayo itainua uchumi wa nchi kwa haraka na kutoa ajira nyingi za kudumu kwa vijana. Ila hii miradi ya maraja,makalavati na majendo ina ulaji wa maana sana.
Mkuu hapa limezungumziwa daraja la Nyerere tu ambalo ni billion 200+. Hakuna nchi inayoendeshwa kirahisi hivyo kwani katika kodi zetu tunazokusanya kwa mwezi hatufikishi 1 trillion? Utakimbilia kujenga viwanda wakati umeme wa uhakika wa kuendesha mitambo hakuna? tuna mengi ya kufanya kabla hatujakimbilia kwenye viwanda lazima tujenge miundombinu yetu vizuri itakayoweza kuendesha hivyo viwanda.
Sijamaanisha ivyo fikiria mara mbiliKwa hiyo miundombinu hiyo ni pamoja na karavati la Kigamboni?
Hiyo sentensi ya mwisho CC ndiyo imenivunja mbavu, Yaani FaizaFoxy utamuona soon hapa jamvini na ujiandae.Aisee nashindwaga kujua amejitendenezea software ambayo ameintegrate na JF kuwa akitajwa tu imualert.
Mzee wa msoga huko aliko roho inamuuma sana hakuna hata jambo moja jamaa amewahi kumsifia labda sisi wananchi tunamsifu kwa uwazi tu