Daraja la NSSF Kigamboni ndio karavati?

Daraja la NSSF Kigamboni ndio karavati?

Kujidai unajua wakati wewe ni domokaya ni uhayawani!!Kuhusu lilijengwa kipindi cha yeye akiwa waziri hiyo kauli haina mashiko, kama una kumbukumbu kuna kauli aliambiwa "wewe ulitakiwa uje uliposikia kuna sherehe ya ufunguzi kwa kuwa ni waziri mwenye dhamana, Kijazi yeye alikimbizwa ubalozi wa India, Jamaa nadhani alipelekwa wizara ya kuhesabu samaki,Jiongeze kijana stori za kwenye vijiwe vya gahawa achana nazo, raisi anaposema waachane na ujenzi wa madaraja na makalavati je kigamboni sio daraja? na kama ni daraja kauli ya raisi hailihusu? Kuhusu kuweka commitment ni uwongo wa mchana kweupe dau mwenyewe alisema wazo lilitoka kwa mkapa na kikwete akaendeleza mbona hakumtaja magufuli? kuhusu daraja kutoa ajira halina mashiko pia kwa kuwa daraja linatoa ajira za muda mfupi na hata ajira za kudumu sio nyingi kama ambavyo kiwanda kitatoa, na daraja wafaidika wake ni wachache ukilinganisha na kiwanda kinachodhalisha bidhaa ambazo watanzania wote watzitumiana kufaidika, Unadhani siku ufunguzi wa daraja la Kigamboni ulikuwa mwenyewe au hotuba yake ulisikiliza mwenyewe?Na kama ni kweli raisi Magufuli atakuja vipi ponda wazo lake mbele ya umma? Fikirisheni akili kidogo hilo daraja lina mambo mengi kuliko unavyojua na kujidai kuleta misemo hewa ambayo haina mantiki. Vijana wengi siku hizi tunajidai tunajua wakati tunashinda kwenye pool table na hatufuatilii mambo kwa kusoma na kusikiliza vyombo mbalimbali vya habari na hii ndio imekufanya ukaja na story za kwenye pool table hapa.Pumbavu kabisa wewe.

Hahahahahaha kwikwikwikwikwikwikwi, tehtehtehtehtehteh! Mama mbavu zangu! Umenichekesha kweli leo, nimekumbuka kauli moja aliyokuwa akiitumia mwalimu wangu fulani kuniambia kuwa kuna watu hawajui, halafu hawajui kama hawajui na kutokujua kwao wanajifanya wanajua na hata wanadiriki kuzungumzia mambo ambayo hawayajui. hahahahaha. Enhe wewe kumbe una fikiria? Wewe kumbe unafuatilia mambo? Wewe kumbe ulisikiliza hotuba ya rais, kwakwakwakwa yaani bado nacheka? Eeenhe wewe kumbe pia unasikiliza vyombo vya habari? Kwakwakwakwa, sijui vyombo vya habari gani hivyounavyosikiliza vilivyo up to date na kukufanya uwe na habari relevant kama ulizoziandika hapa. Wewe unaweza kuwa msaada mkubwa kwangu wa kuniwezesha niondokane na upumbavu. Naomba nikuulize swali, hivi kweli ulisikiliza hotuba ya rais ya ufunguzi wa lile daraja? Ulisikiliza kweli wewe? Ulikuwa haupo hospitali labda ukitibiwa masikio? Hebu sikiliza tena youtube halafu uje kunitoa nishai humu jf na uoneshe upumbavu wangu. We broo yaelekea wewe ni kichwa haswaa, wewe ni kichwa broo sema hujui tu
 
Rubbish
 
Sawa, je utafiti wa masoko. Halafu usichukulie suala jepesi kwa kuwa ni kiwanda cha ngozi, je kina tija? Soko lipo? Return? So kuna mengi ya kujiridhisha, tusije kuangukia tulipoteleza awali.
Mh!!! Huyu mchumi wetu naye!!

Hivi kweli unahoji soko la kiwanda cha ngozi?!

Bull shit!!!!
 
Rubish nyingine hii hapa

DAR5.jpg

"Kabla sijaanza kuhutubia, naomba nimkaribishe mtu muhimu sana aliyefanikisha ujenzi wa Daraja hili. Dkt Dau tafadhali karibu usalimie kidogo’’. Ndivyo alivyoanza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli jana wakati wa uzinduzi wa daraja la kihistoria la kigamboni alilopendekeza liitwe daraja la Nyerere kutukuza mchango wa mwasisi wa taifa hili baba wa taifa hayati mwalimu Julius kambarage nyerere.
"Watanzania wana tabia ya kusahau sana. Tunaweza kuzindua hapa wakashangilia lakini wasiwapongeze watu waliofanikisha kazi hiyo..mnyonge mnyongeni haki yake mpeni”. Aliendelea Rais Magufuli mara baada ya Dk. Dau kumaliza kusalimia.
Dk Magufuli alisema Balozi Dau alimfuata ofisini kwake(wakati huo akiwa Waziri wa Ujenzi), akiwa mnyonge na mwenye kukata tamaa ya kufanikisha mradi huo.
“Ndiyo nikamwambia aanze kufanya kazi.” Rais Magufuli alisema ni Dk Dau na NSSF ndiyo waliosimamia na kuhakikisha daraja hilo linajengwa na kukamilika kwa kiwango hicho, akasema haitakuwa busara kulizindua bila kutambua mchango wake.
Alisema ni kawaida kwa watu wenye michango mikubwa kusahaulika wakati wa mafanikio.
 
... wanachofanya NSSF ni jumla ya maendeleo, wanaangalia tatizo na uwezo wao wa kulitatua
Tatizo linaloibuka ni namna gani fedha wanazotumia "kutatua matatizo" zitarudi kwenye mfuko tena kwa thamani ya wakati huo. Kumbuka kuwa hizo fedha si za serikali, ni za wanachama wachache wa NSSF, kwa hiyo NSSF ina jukumu la kutatua matatizo ya wanachama wake na wala si wajibu wake kutatua matatizo ya wananchi wote. Sasa kama itakuwa inawekeza kwa faida ya wanachama wake na wakati huo huo inatatua kero za wananchi, hapo ni jambo jema. Lakini haiwezekani uweke kipaumbele kwenye miradi ambayo haitarudisha fedha za wanachama au itatumia muda mrefu kuanza kunufaisha wanachama, eti kwa kisingizio cha "kutatua kero za wananchi"! Hizo kero za wananchi NSSF iiachie serikali, yenyewe inatakiwa ishughulikie kero za wanachama
 
Kama dawa inaingia na unapona basi unatoa tu taarifa na kushukuru kwa maarifa mapya kwa vitu ulivyokuwa huvijui ukijifanya unavijua kufikia ya kutukana watu uliodhani wao ndio hawajui.
 
Pia Ujiulize Serikali kuu yenye Kodi na vyanzo vyote vya mapato imeshindwa kuanzisha hivyo viwanda Pension Fund itawezaje?
Pili fedha za Mfuko wa hifadhi ya jamii ni fedha za watu walioweka akiba yao wakistaafu wanataka wakute pesa yao sio longolongo sasa inakufanya Investment hakikisha unachagua investment yenye low risk kama vile daraja ukija ku invest kwny high risk bsn ukipata hasara utawaeleza lugha gani members wakuelewe?
Mkuu Pohamba,uwekezaji wa UDOM nao tuuite nini?low risk au high risk?
 
Mkuu Pohamba,uwekezaji wa UDOM nao tuuite nini?low risk au high risk?

Uwekezaji wa Majengo,Madaraja n.k ni low risk na njia rahisi ya kutambua ni certanity ya return yake, pia kwa kukusaidia UDOM sio uwekezaji bali ni mkopo wa Pension funds kama ilivyo nyumba kadhaa za makazi ya Vyombo vya ulinzi na usalama kwa serikali. Daraja la kigamboni ni invesment ya low risk kwa kuwa uhakika wa mapato ni 100% na payback period huwa ni mrefu!
 
Akisema yeye hakuna shida kwani atakuwa ameamua kujishusha. Lakini kama ulitaka kulinganisha na alichosema JPM, ulitakiwa kusema kuwa, hivi rafiki yako akuambie wewe kuwa umejenga kibanda Kinyerezi, utamuelewaje? Ni dhahiri kuwa nitaona amenidharau, kwani pamoja na juhudi zangu za kujinyima ili niwe na mahali pa kujihifadhi, anatokea mtu na kuniambia kuwa hiyo sio nyumba bali ni kibanda!
Hicho ndicho alichofanya JPM, kuwaambia walioruhusu au waliofanya ujenzi wa daraja, kuwa hilo ni karavati!
You just take it too serious my friend.
Usi-complicate vitu vidogo. Kama angekuwa na baya la kusema juu ya daraja angesema ile siku ya ufunguzi.
 
Magufuli hayupo vizur diplomatically
hana maneno ya kuvutia kama JK
 
Siungi mkono mifuo ya jamii kuwekeza kwenye viwanda

Mifuko ya jamii inatakiwa iwekeze kwenye miradi yenye uhakika na sio viwanda

Naona serikali inataka kuilazimisha mifuko kuwekeza kwenye miradi isiyo viable kwa sababu ya kutimiza ajenda zao za kisiasa na ahadi zao za kisiasa zisizotekelezeka

.....

.......Tanzania ya viwanda
 
Pia Ujiulize Serikali kuu yenye Kodi na vyanzo vyote vya mapato imeshindwa kuanzisha hivyo viwanda Pension Fund itawezaje?
Pili fedha za Mfuko wa hifadhi ya jamii ni fedha za watu walioweka akiba yao wakistaafu wanataka wakute pesa yao sio longolongo sasa inakufanya Investment hakikisha unachagua investment yenye low risk kama vile daraja ukija ku invest kwny high risk bsn ukipata hasara utawaeleza lugha gani members wakuelewe?
daraja lina return? kiwanda na dalaja ni upi uwekezaji unaorudisha pesa?
 
Tatizo linaloibuka ni namna gani fedha wanazotumia "kutatua matatizo" zitarudi kwenye mfuko tena kwa thamani ya wakati huo. Kumbuka kuwa hizo fedha si za serikali, ni za wanachama wachache wa NSSF, kwa hiyo NSSF ina jukumu la kutatua matatizo ya wanachama wake na wala si wajibu wake kutatua matatizo ya wananchi wote. Sasa kama itakuwa inawekeza kwa faida ya wanachama wake na wakati huo huo inatatua kero za wananchi, hapo ni jambo jema. Lakini haiwezekani uweke kipaumbele kwenye miradi ambayo haitarudisha fedha za wanachama au itatumia muda mrefu kuanza kunufaisha wanachama, eti kwa kisingizio cha "kutatua kero za wananchi"! Hizo kero za wananchi NSSF iiachie serikali, yenyewe inatakiwa ishughulikie kero za wanachama
hilo jambo wameshalifikiria, na wameshafanya calculation zao na wanajua baada ya muda gani fedha zao zitakua zimesharudi, ndio maana wakajenga na kuchukua hiyo project, laiti kama hiyo project ingeliwapa hasara, basi wasingeliweza kujenga hata siku moja. Maanahakuna shirika linalotaka kula hasara
 
daraja lina return? kiwanda na dalaja ni upi uwekezaji unaorudisha pesa?

Kajifunze uncertainity and Certanity of return with respect to degree of risk utanielewa kama utapenda kuelewa! Uwezekano wa kiwanda kupoteza mtaji ni mkubwa kuliko wa daraja japo vyote viki success kiwanda kinafaida zaidi (madaraja ya kulipia). Mifuko ya hifadhi ya jamii by nature ni risk averser na sio risk taker ndio sababu hawashauriwi kuwekeza kwny biashara zenye high risk hata kama zina faida zaidi!
 
Kwa kweli kwenye swala hili mimi naungana na maghufuli, maana tuna tuna mgodi wa chuma kwanini tusijenge kiwanda ambacho kita process hayo madini mpaka kupata chuma pure, ambapo kiwanda kitakuwa na wafanyakazi si chini ya 1000, huku mgodi ukiwa na wafanyakazi si chini ya 1000, kwanza kama mfuko wa Jamii wale wafanyakazi anawafanya wanachama wake pili kiwanda badala ya kusafirisha madini ya chuma tunatengeneza chuma kabisa na kuongeza thamani, shaba toka Zambia na Congo zinapita hapa kwa nini tusitengeneze vinu vya Ku process hiyo shaba tukaanza kusafirisha waya na vipuri vingine badala ya kusafirisha shaba, kwanini tusijenge kiwanda cha kutengeneza vioo vya simu ili tusipeleke mchanga wa mabaki ya dhahabu ulaya?, kwanini wasiwekeze kiwanda cha matairi ili tuiuzie serikali na wananchi binafsi matairi huku tuwapa wakulima wetu soko la uhakika la zao la mpira
Mkuu wewe mawazo yako yako mbele hatua mia, na kwa akili hizi za watanzania ni wachache watakuelewa. Wenyewe wakiona majengo au madaraja marefu wanaona ndio maendeleo! Magufuli ametoa wazo zuri sana na wewe umeelezea vizuri kabisa.
 
Nimesikia kauli ya JPM katika sherehe za Mei Mosi akisema kwamba mifuko ya hifadhi ya jamii imekuwa ikijiingiza kuwekeza katika miradi ya ajabu ajabu. Akaendelea kushangaa kuwa badala ya kuwekeza katika viwanda vitakavyotoa ajira nyingi zitakazotengeneza wanachama wengi zaidi wa mifuko hiyo, unakuta eti mfuko unawekeza katika ujenzi wa daraja au karavati!

Najaribu kujiuliza tu, ni mfuko gani wa hifadhi ya jamii uliowekeza katika ujenzi wa daraja au karavati kiasi cha kumshangaza rais? Haya sasa, mimi nawaachia mjadala
cc Mohamed Said, Ritz, FaizaFoxy, AbasMzeEgyptian

Hao ulowataja hawawezi kuja huku maana hawana amani tena bwana wao atatwaliwa mda wowote
 
Ni sawa na aliposema wacheza pool wapelekwe makambini kana kwamba wanakwenda kuomba chakula ikulu.
 
hilo jambo wameshalifikiria, na wameshafanya calculation zao... laiti kama hiyo project ingeliwapa hasara, basi wasingeliweza kujenga hata siku moja. Maana hakuna shirika linalotaka kula hasara
Sasa mbona rais anawashangaa?
 
Back
Top Bottom