Daraja la Kamba la Shilingi Milioni 54

Non sense., usilolijua litakusumbua. Nenda halmashauri uombe Bill of Quantities ndio urudi na majungu yako hapa.
 
Umesahau na gharama za motorcade ya RC kuja kwenze uzinduzi. 'Waache wafu wazike wafu wenzao' - Mbowe
 
Je lina uimara?swali lingine la kujiuliza uzito unaotakiwa kupita ktk daraja hilo ni ton ngapi?
Hata sahani za disposable nyingine zinaweza kutumika mara zaidi ya moja, punguza maswali mkuu!
 
Waacheni waliwe na mamba,tushafanya yetu sisi,ccm hoyeeeeeeee
 
TZ bana. Tena likzinduliwa na Mkuu wa Mkoa na timu yake yote. Vichekesho
 
Back
Top Bottom