Daraja la Kamba la Shilingi Milioni 54


nkobanks

nkobanks

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
684
Likes
380
Points
80
nkobanks

nkobanks

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
684 380 80
Aiseeh hiyo lazma mbeya huyo si RC wa mbeya amos makalla
 
barafu

barafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Messages
6,279
Likes
25,789
Points
280
barafu

barafu

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2013
6,279 25,789 280
Hauko sahihi, lina gharama ya Milioni Kumi.
Niliona kupitia taarifa za habari Azam Tv pamoja na ITV.
Labd hukusikia vizuri...Ni milioni 50!!Mpaka RC Makalla akasema watampa zawadi ya mkungu wa ndizi mtangazaji wa Azam Tv kwa kuvumbua tatizo hilo
Hukusikiliza vizuri Namuhi
 
Zanzibar Spices

Zanzibar Spices

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Messages
7,511
Likes
2,069
Points
280
Zanzibar Spices

Zanzibar Spices

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2013
7,511 2,069 280
Mbona 50m ni hela ndogo sana.
Pesa hiyo hata Nyumba hujengi labda Banda.
 
SNAP J

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Messages
4,791
Likes
3,124
Points
280
SNAP J

SNAP J

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2013
4,791 3,124 280
Kweli elimu ni jambo muhimu mmnooo.. Hebu cheki na hao wananchi wamejitokeza kushuhudia uzindipuzi wa hilo daraja..
Nitarudi baadaye.
 
Kajole

Kajole

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Messages
1,525
Likes
1,394
Points
280
Kajole

Kajole

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2011
1,525 1,394 280
Je lina uimara?swali lingine la kujiuliza uzito unaotakiwa kupita ktk daraja hilo ni ton ngapi?
tani?,mkuu ni kilo kadhaa tu tena upana wake ni mita moja hvi...linayumba yumba unapopita maana limeshikwa kwa NYAYA TU kama zile za tanesco kwa chini. mwaka jana tulienda hapo kutalii
 
Ed n Edd nEddy

Ed n Edd nEddy

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2011
Messages
4,663
Likes
3,053
Points
280
Ed n Edd nEddy

Ed n Edd nEddy

JF-Expert Member
Joined May 3, 2011
4,663 3,053 280
Aiseee hongera sana kwao
 

Forum statistics

Threads 1,235,516
Members 474,633
Posts 29,225,425