Daraja la Kamba la Shilingi Milioni 54

Hivi serikali inashindwa kujenga daraja la maana? Hizi mbao zinaoza haraka kutokana na unyevu na mvua halafu watu watatumbukia darajani.Lets stop jokes in serious issues of delelopments
 
Ni kweli mkuu hela ndogo sana hiyo kulinganisha na hela iliyo tumia kagharamikia banda langu la Mbwa maana lilini cost 250 Mil
INATIA HAMASA NA FARAJA KUONA WATU WANAOOTA KAMA SISI...250 MLNS BANDA LA MBWA..HUYO MWINGINE 50MLNS ANAJENGA BANDA SIJUI LA NINI.HAYA NDIO MAWAZO YETU YANAPOISHIA KIAFRIKA AFRIKA.HUYU WA MWISHO WA 250 KWA BANDA LA MBWA SAAFI SANA.UMEMPATIA JAMAA VYEMA SANA SAANA.MABANDA YANGU YA KUKU KIDOGO YALINGANE NA WEWE WA 250MLNS
 
13620311_1627813497533867_5269107436700149408_n.jpg
13606568_1627813680867182_5282187416512862775_n.jpg

13606573_1627813520867198_9120242261850001675_n.jpg
Mtoa UZI una uhakika na unachosema maana upotoshaji adhabu yake unaijua
 
Hilo ni daraja la watembea kwa migguu wee jifanye much know upite na mzigo mzito!ndiyo utakujaaa kutiaa akili.....
Maana watanzania sisi kwa kuharibu miundo mbinu hatujambo.....sehemu unaambiwa mwisho kubeba ton 10 mtu anapita na ton 30.
Hilo daraja la rungwe ni komeshaaaa hehehehe
 
Subirini kuona hayo mawaya (uzio) yakikatwa na wenyeji na kwenda kujengea mabanda ya kuku.
 
Back
Top Bottom