tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,240
- 4,465
Khaaa mkuu hili liko wapi
Khaaa mkuu hili liko wapi
Labd hukusikia vizuri...Ni milioni 50!!Mpaka RC Makalla akasema watampa zawadi ya mkungu wa ndizi mtangazaji wa Azam Tv kwa kuvumbua tatizo hiloHauko sahihi, lina gharama ya Milioni Kumi.
Niliona kupitia taarifa za habari Azam Tv pamoja na ITV.
Ni kweli mkuu hela ndogo sana hiyo kulinganisha na hela iliyo tumia kagharamikia banda langu la Mbwa maana lilini cost 250 MilMbona 50m ni hela ndogo sana.
Pesa hiyo hata Nyumba hujengi labda Banda.
tani?,mkuu ni kilo kadhaa tu tena upana wake ni mita moja hvi...linayumba yumba unapopita maana limeshikwa kwa NYAYA TU kama zile za tanesco kwa chini. mwaka jana tulienda hapo kutaliiJe lina uimara?swali lingine la kujiuliza uzito unaotakiwa kupita ktk daraja hilo ni ton ngapi?
Hata hiyo milioni kumi ni kubwa sana.Hauko sahihi, lina gharama ya Milioni Kumi.
Niliona kupitia taarifa za habari Azam Tv pamoja na ITV.