Daraja la Kamba la Shilingi Milioni 54

tutafikatu

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
3,238
4,464
13620311_1627813497533867_5269107436700149408_n.jpg
13606568_1627813680867182_5282187416512862775_n.jpg

13606573_1627813520867198_9120242261850001675_n.jpg
 
Kweli elimu ni jambo muhimu mmnooo.. Hebu cheki na hao wananchi wamejitokeza kushuhudia uzindipuzi wa hilo daraja..
Nitarudi baadaye.
 
Je lina uimara?swali lingine la kujiuliza uzito unaotakiwa kupita ktk daraja hilo ni ton ngapi?
tani?,mkuu ni kilo kadhaa tu tena upana wake ni mita moja hvi...linayumba yumba unapopita maana limeshikwa kwa NYAYA TU kama zile za tanesco kwa chini. mwaka jana tulienda hapo kutalii
 
Back
Top Bottom