DAR WING -wa WHITE PARTY

Kwa wale watakaotaka kuwasilisha michango yao watume kwa Tigo Pesa kwa namba hii +255 715 729292 na wasisau kutuma na majina yao nisije nikachakachua FUND......LOL

Kwa wale watakaotaka kuiwasilisha moja kwa moja kwangu wafike katika Hoteli ya Dar es Salaam Serena kwenye kijiwe changu cha Kahawa, wanipigie simu wakati wanakuja ili niwapokee.


Ni vyema michango ikawahishwa kwa ajili ya maandalizi............


Nawasilisha.
 
madame B , nipo hapa getini nimekuletea zawadi zako. Ila usitoke kwanza, hadi ujibu hili, kwani tarehe 25/1 unataka ku kwepa?

Halafu wako wengi manoah mboyoyo nyiingi then "white elephant" if you know wari I mean!
 
Last edited by a moderator:
kwaiyo badala ya manoah ninatumia real name eeh! Haya bwana yangu nitaituma badae kidogo
 
Superman count me in..... naja kuwakilisha MWANZA WING a.k.a THE ROCK CITY!!!!!!!

gfsonwin dada mkubwa, kwanza shikamoo dadaangu wa moyoni.... Hebu ngoja nikafanze booking ya fastjet mapeeeeeema. Hii si ya kukosa ati!!!!!!!

Jamani wakaka wa JF Dar wing natafta Mwenyeji Yeyote aliye tayari kidole juu!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Madame B unakumbuka wewe ndo uliye propose hili swala??
sasa basi naomba ulisimamie liishe kwanza lol!
sasa kama hutokuwepo unategemea nn wewe??
hatukuwa na hili wazo kabla ya wewe kusema atii.

Kama analeta ubishi wa kutohudhuria, basi nitamwambia Zinduna AMROGE ujinga umtoke, aaalaaaaaa.........!!!!!!!!
 
kwaiyo badala ya manoah ninatumia real name eeh! Haya bwana yangu nitaituma badae kidogo

Mtumie majina ya JF bana.
Kwa mfano labda wewe jina lako ni Kayanda Muyago, ambalo ndilo litakalotokea kwenye Tigo Pesa, inabidi unitumie SMS ukitaja jina ID yako ya JF.......
 
be siriaz basi haya bana utakuwa na mm kibibi lol!
Well, on serious note, Tarehe 19/01 Sitakuwa available. Tarehe 25? Damn kalenda yangu inanionyesha tarehe 25 itakuwa Ijumaa siyo? Sitakuwa available. Ila Jumamosi tar 26/01 ntakuwa available kuanzia saa mbili usiku mpaka Liamba.

Anayenitaka hiyo siku anyooshe kidole juu.
 

We nawe, mpaka utangaze, si ungeni PM mie ...............LOL
 
Hii party tukienda kuisherekea Arusha itanoga sana
 

Sasa ODM, kila mtu akitaka tarehe yake si itakuwa vurugu....?
Jifanye mgonjwa basi kama ni mambo ya commitment za kazi...................LOL
 
Nimekuele mkuu wangu.
Mtumie majina ya JF bana.
Kwa mfano labda wewe jina lako ni Kayanda Muyago, ambalo ndilo litakalotokea kwenye Tigo Pesa, inabidi unitumie SMS ukitaja jina ID yako ya JF.......
 
charminglady granted! Mko 3 sasa: Madame B; lara 1 na charminglady

Ukikosa mwenyeji niambie, unaweza kupata extension . . . . Pa kulala during your stay, pa kula, na usafiri including Treni ya Mwakyembe!
 
Last edited by a moderator:

Duh! Afadhali. Hakika Mungu si Athumani. Ungeniharibia sana!
 
Ayaaa! Si nilisema? Si nilisema mimi? mbwembwe nyiiingi mnaanza kujitoa mmoja mmoja! Aibu yetu aibu yenu?
COPY: gfsonwin, Madame B, Preta

wapiiiii aibu yenu itafanya sana.
Ila arusha mkiweka nitazuka si mnajua mie dar wing na arusha wing siku hizi kotekote nitazuka.
Unipm mwezi kabla niweke booking fast jet
 
Last edited by a moderator:

Ulinzi najitolea,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…