DAR WING -wa WHITE PARTY

Yah, alirudi ikaendelea sehemu ya kuacha kazi ya jeshi .... blah blah ...... Imenoga sana lakini.

mmh! ile hadithi nimesoma ni nzuri sana ila sasa simulizi ilitakiwa iwe yenyewe sio katikati ya comments lol!
 
Paloma tumesema iwe 25th kwani iyo tarehe Asprin, na KakaKiiza watakuwa wote na udhuru. please please!
 
Last edited by a moderator:
Ukiweka viti watu watakuwa kama wamewekwa gundi kwenye viti!!!! Hawasimami kusalimiana wala kucheza! Wanakaa kumkodolea MC tu mwanzo mwisho!!!!!!!!!! Anaongea na huyohuyo aliekaa nae karibu!!!!!! Hapo itakuwa utratraaaaa!!!!!!!

bana viwepo vya kiushkaji lol!
mbona wenzio utawakata nyonga na michochomo yao?? ila kuna wengine hata kama viti vipo kwenye paty ni kusmama mwanzo mwisho manake hatukauki kucheza na kusalimiana lol!
 
Aiseee nimepitwa na mambo humu eee???
Yule CHAI CHUNGU alinifanya nisije huku na story yake
Aisee ni tarehe ngapi???watu tukatafute kitu whiteeeeeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Aiseee nimepitwa na mambo humu eee???
Yule CHAI CHUNGU alinifanya nisije huku na story yake
Aisee ni tarehe ngapi???watu tukatafute kitu whiteeeeeeeeeeee

ni tarehe 25/ 1 ma dia mchango ni sh 20000/= wewe utakuwa lady of usher sawa mamii.
 
Aiseee nimepitwa na mambo humu eee???
Yule CHAI CHUNGU alinifanya nisije huku na story yake
Aisee ni tarehe ngapi???watu tukatafute kitu whiteeeeeeeeeeee

hujambo mamito?
hivi hiyo simulizi imeisha!?!? maana nililog off kwa kuona nakosa kufaudu! watu8 amekonfirm attendance?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…