Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
heheheeeee...................ukweli naujua mie! lakini.........ya nini kuyaanika hapa?!?!
heri kuganga yajayo!!!
Ndio maana niliwakimbia pale.......
ngololo.....ah............ngololo....ngololo tah....ngololo..........
amu Kipaji Halisi Vin Diesel.....na.............................OMG-sitaki kukumbuka!!
Ulionekana unaondoka mkiwa 'wawili'...hehe
Hahahaha.. hizo tuhuma kazitoa nani?
mambo vipi best?. mia
White party ilinivunjia ndoa....naogopa
cc charminglady....
Naomba kuleta mawazo haya kwenu nakumbuka mwaka jana tulikutanisha wana CC pale kebbys naomba mwaka huu tu organiz kitu kama hicho kabla ya Christmas na kifanyike pale escape1 au 2 je mwaonaje?
cc
Mtambuzi, Asprin, Paloma, gfsonwin, Madame B, kipajihalisi, Zion Daughter amu, Ladyfuraha, @bijibuji, Ruttashobolwa
Hehe...zis taimu sijui itakuwaje.....
Sasa hii itakuwa na rangi gani??? Make iliyopita ilikuwa White......
itabidi tubadilishe kiwanja!!!
afu na mkeo.........sjui nani hapa na my wii Heaven on earth lazima awepo - kwa garama yoyote ile juu yangu!
Hivi eeeeh....ni mwaka sasa unakatika sisemeshwi....i have good and bad memories...
charminglady this time itakuwa combo party. Madame B alishanena!zis taim iwe traffic light....tuumizane macho
jamani........usiniambie! teeeh...........ndoa yenyewe ya chitchat......!!! madogo yana nafuu!!!
weweeee....alokuambia kuwa ni ya chit chat nani....kalagabaho.....
usiniambie..............!!! :A S new:to me!