Dar usiku wa leo ulikua mrefu kuliko mchana

Bangi mbaya sana uwe unavuta kwa kipimo unapozidisha madhara yake ndio kama hayo' USHAURI- tumia misokoto 30 kwa siku na sio 50 kama ulivyozoea mawenge yatapungua kidogo.
 
Wakuu kwanza poleni kwa joto kali la usiku wa kuamkia leo.
But kuna jambo la ziada jana usiku.
Usiku wa jana ulikua mrefu sana kuliko mchana, jee ni hili Jua la Ikweta ndio chanzo au ni mawenge yangu tu?
Maana kila nikishituka usingizini nakuta kimyaaaaaa!!!!
JF imekua kama kijiwe cha kahawa tu siku hizi!! Hili nayo thread?!!!!
 
Wakuu,

Kwanza poleni kwa joto kali la usiku wa kuamkia leo.But kuna jambo la ziada jana usiku.Usiku wa jana ulikua mrefu sana kuliko mchana, je ni hili Jua la Ikweta ndio chanzo au ni mawenge yangu tu?

Maana kila nikishituka usingizini nakuta kimya!
Ni kwel mkuu nunua net naona mbu wanakuamsha kila saa
 
Wakuu,

Kwanza poleni kwa joto kali la usiku wa kuamkia leo.But kuna jambo la ziada jana usiku.Usiku wa jana ulikua mrefu sana kuliko mchana, je ni hili Jua la Ikweta ndio chanzo au ni mawenge yangu tu?

Maana kila nikishituka usingizini nakuta kimya!

Wakuu,

Kwanza poleni kwa joto kali la usiku wa kuamkia leo.But kuna jambo la ziada jana usiku.Usiku wa jana ulikua mrefu sana kuliko mchana, je ni hili Jua la Ikweta ndio chanzo au ni mawenge yangu tu?

Maana kila nikishituka usingizini nakuta kimya!
 
Isije kuwa kesho yake ulikuwa unakwenda kuanza kazi mpya yenye maslahi mazuri.

Wakuu,

Kwanza poleni kwa joto kali la usiku wa kuamkia leo.But kuna jambo la ziada jana usiku.Usiku wa jana ulikua mrefu sana kuliko mchana, je ni hili Jua la Ikweta ndio chanzo au ni mawenge yangu tu?

Maana kila nikishituka usingizini nakuta kimya!
 
Wakuu,

Kwanza poleni kwa joto kali la usiku wa kuamkia leo.But kuna jambo la ziada jana usiku.Usiku wa jana ulikua mrefu sana kuliko mchana, je ni hili Jua la Ikweta ndio chanzo au ni mawenge yangu tu?

Maana kila nikishituka usingizini nakuta kimya!
kwa kawaida tarehe 21march na 23september jua huwa ikweta,na katika kipindi hicho mchana na usiku huwa sawa,kwa swali lako ki sayansi si kweli kuwa usiku ulikuwa mrefu labad kwa sababu zako binafsi kama msongo wa mawazo,ukosefu wa fedha nk vinaweza kuchangia
 
Back
Top Bottom