Dar usiku wa leo ulikua mrefu kuliko mchana

Wonderful

JF-Expert Member
Apr 8, 2015
7,347
5,985
Wakuu,

Kwanza poleni kwa joto kali la usiku wa kuamkia leo.But kuna jambo la ziada jana usiku.Usiku wa jana ulikua mrefu sana kuliko mchana, je ni hili Jua la Ikweta ndio chanzo au ni mawenge yangu tu?

Maana kila nikishituka usingizini nakuta kimya!
 
Wakuu kwanza poleni kwa joto kali la usiku wa kuamkia leo.
But kuna jambo la ziada jana usiku.
Usiku wa jana ulikua mrefu sana kuliko mchana, jee ni hili Jua la Ikweta ndio chanzo au ni mawenge yangu tu?
Maana kila nikishituka usingizini nakuta kimyaaaaaa!!!!
Ni kweli kabisa usiku wa jana kuamkia leo ulikuwa mrefu kwa takribani masaa mawili hivi...mimi mwenyewe nimelishuhudia hilo live kabisa! Lakini hii yote haikutokea kwa bahati mbaya ni kitu kilichokusudiwa kabisa kwenye mfumo wa solar system kwamba siku UKAWA wakishinda umeya wa jiji lazima usiku ule mrefu kuwapa faraja ya kupumzika baada ya miezi minne ya fitina zilizoshindwa
 
Duhhhhh!!
 
mshana jr leo umefanya nianze siku yangu vizuri
 
Ulilala na njaa?
Hapana mkuu tena nilikua poa tu, kawaida tangu huwa si sinzii mara mbili, yani huwa nikishituka usingizini basi lazima nisikie JOGOO likitoa taarifa as well kunguru wakichagiza kwamba kumekucha, but leo nimelala mara tatu aise!!!! Yani naona kana kwamba nimelala ya masaa 12!!!!
 
Kama sitakuja kupata sababu ya msingi ya kuja dar siji kuja kukanyaga dar.
Nahisi kwenda dar ni sawa na kwenda kwenye tanuli la moto
Acha hizo bhana, we hujui kwamba ukawa wanaongoza jiji la Dar? Njoo watakupa ac labda.
 
Inaonekana wewe ulikuwa umetembelewa na wachawi, wakaufanya usiku wako kuwa mrefu.
 
Mbona kuanzia tarehe 20/3 tuliambiwa kuwa ni equinox (the day where day and night are equal)
 
Wakuu kwanza poleni kwa joto kali la usiku wa kuamkia leo.
But kuna jambo la ziada jana usiku.
Usiku wa jana ulikua mrefu sana kuliko mchana, jee ni hili Jua la Ikweta ndio chanzo au ni mawenge yangu tu?
Maana kila nikishituka usingizini nakuta kimyaaaaaa!!!!
mawenge yako 100%. Ulilala bila kula?
 
Back
Top Bottom