Dar usiku wa leo ulikua mrefu kuliko mchana

Dar usiku wa leo ulikua mrefu kuliko mchana

Watu mmen'gan'ania dar es salaam. Mtafia huko kwa kuto taka kujiongeza. Maisha mlo mmoja, msoto tangu j3 mpaka ijumaa, januari mpaka decemba, joto ka mko kwenye tanuru na bado mwang'ania huko. Fungukeni muone fursa na hali ya hewa yenye kuvutia huku mikoani
Mkuu mbona unaongea kwa kujifichaficha? Ni wapi huko mikoani?
 
Ni kweli kabisa usiku wa jana kuamkia leo ulikuwa mrefu kwa takribani masaa mawili hivi...mimi mwenyewe nimelishuhudia hilo live kabisa! Lakini hii yote haikutokea kwa bahati mbaya ni kitu kilichokusudiwa kabisa kwenye mfumo wa solar system kwamba siku UKAWA wakishinda umeya wa jiji lazima usiku ule mrefu kuwapa faraja ya kupumzika baada ya miezi minne ya fitina zilizoshindwa[emoji23] [emoji23] [emoji134]
Kwa hiyo walifanya UCHAWI AU??????????????????
 
Wakuu,

Kwanza poleni kwa joto kali la usiku wa kuamkia leo.But kuna jambo la ziada jana usiku.Usiku wa jana ulikua mrefu sana kuliko mchana, je ni hili Jua la Ikweta ndio chanzo au ni mawenge yangu tu?
Maana kila nikishituka usingizini nakuta kimya!
seasons_solstice_equinox_NASA.jpeg

tukiacha hadithi zote za Dar, Umeya aua Uchawi ni kuwa hapo mwanzo ulipatia jua liakuja Ikweta ila kwa sasa litafika June na kujirudia hapo hapo Dusemba
ni kwamba jua sasa linatoka mstari wa chini wa Capricon kuja Ikweta na ni tarehe 21-23 March ya kula mwaka na ndio maana huko kusini ulikuwa joto na kaskazini ni baridi kali km utakumbuka mambo ya X-mas na theluji
Mwezi wa june kwa Afrika ya kusini ndio kutakuwa na baridi kali maana jua litakuwa Tropic ya Kansa juu kaskazini na kwao kutwa itakuwa fupi
December_solstice_diagram-300x214.jpg

naona kuna wataalamu wa Sayari watadadavua Mada hii km si ya kisiasa
poleni wakazi wa Dar hata sisi huku bara inatubiri tuamke usiku kwenda kuchunga na tunapushana na fisi waliochelewa
ka uhakika fuatilia vipindi vya TV vya hali ya hewa leo pia utagundua
 
Huenda mawingu yalilichelewesha jua kuchomoza.
 
Wakuu,

Kwanza poleni kwa joto kali la usiku wa kuamkia leo.But kuna jambo la ziada jana usiku.Usiku wa jana ulikua mrefu sana kuliko mchana, je ni hili Jua la Ikweta ndio chanzo au ni mawenge yangu tu?

Maana kila nikishituka usingizini nakuta kimya!
21st march tunaita spring equinox..Hata 23 september hz ni siku ambazo mchana na usiku ziko sawa hazitofautiana..kwaiyo kwamba uliona usiku mrefu ni wenge zako tu
 
Mh siwaelewi,na prove vipi kama ulikua mrefu wakati jua limetoka mida yake ya kawaida???
 
Back
Top Bottom