Dar: Simba 0 - 1 Yanga, Ngao ya hisani | Benjamin Mkapa

Asalaam Aleykum Dar es Salaam
Asalaam Aleykum Tanzania
Asalaam Aleykum Afrika Mashariki na kati
Asalaam Aleykum Afrika kwa jumla.

Ni katika Derby ya kariakoo Simba na Yanga watani wa jadi hawa ni leo hii ya tar. 25.9.2021 majira ya saa 11:00 jioni nyasi za uwanja wa Mkapa zitashuhudia mpambano mkali kati ya wababe hao wa Tanzania na Afrika Mashariki na kati ni mchezo wa ngao ya hisani na ikiwa na maana ya ufunguzi rasmi wa mashindano ya ligi kuu ya Tanzania Bara katika msimu wa 2021/2022.

Tangu kuanzishwa kwa kombe la ngao ya jamii 2010, Simba wana rekodi ya kuchukua kombe hilo mara 6 ambapo walichukua mwaka 2011,2012,2017,2018,2019 na 2020 ikiwa wamechukua kombe hilo mara 4 mfululizo, je wataweza kuendeleza ubabe wao katika kombe hilo la ufunguzi wa ligi.

Yanga pia wana rekodi ya kuchukua kombe hilo mara 5 ambapo wamechukua mwaka 2010,2013,2014,2015,2016 ikiwa pia wana hiyo rekodi ya kuchukua mara nne mfulilizo kabla ya simba kuiweka.

Vikosi vyote viwili vya simba na Yanga vikiwa na sura mpya katika timu zao kwa upande wa Yanga kuna Makambo, Aucho Khalid, fiston Mayele, djuma Shaaban, djigui Diarra, Moloko na wengine wengi

Pia simba kuna Sakho, kanoute, Banda, Duncan Nyoni, kibu deniss na wengine wengi.

Niko hapa kukuletea matangazo ya moja kwa moja kutoka uwanja wa Taifa katika mtanangane huu wa kibabe sana, nani kuibuka mshindi katika mechi hii?, tusubiri tuone

Nyamizi Tate Mkuu demigod
Scars Its Pancho CHIZI VITABU Lee Smart911
View attachment 1951978

View attachment 1951979

View attachment 1951980

View attachment 1951985
Prince Kunta changaule
Mnyama leo hachomoki! Lazima achinjwe,ili kurejesha heshima mtaani.
 
Nguvu moja
 
.
IMG_20210925_160628_170.JPG

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom