jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,783
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aiseee jf raha sanaSasa mkuu hapo kasogeza mbele au karudisha nyuma au ulikuwa na maana nyingine......!!!??
Ndege mbovu zipi hizo?
Aiseee mkuu umeuaWageni wa wanaongea english wanapokea na Makamu au PM, wageni wanaojua kiswahili anaenda mwenyewe mkuu uwanja wa ndege!!!
2018Kabila,nimesikia kasogeza mbele uchaguzi mpaka 1918?..kweli?
Mkuu hata nimeziona hizo ndege zaidi ya mtandaoni?Jamani!! ndege mbovu lini tena wakati ni mpya? hebu tumpongeze Rais wetu jamani kwa kutuletea ndege ili ATCL yetu ianze kuchanja mbuga.
Mkuu mwaka 1918 si ni zamani sana, au Kabila anaweza kutengeneza kalenda ya DRC pekee ambayo badala ya kusomeka mwaka 2018 itasomeka mwaka 1918,yaani kurudisha miaka 100 nyuma?Kabila,nimesikia kasogeza mbele uchaguzi mpaka 1918?..kweli?
Kwa hiyo mtu pekee Congo nzima wa kudhibiti mate ya wazungu juu ya nchi hiyo ni Joseph Kabila tu? Wewe ni li..pumba kabisa. Suppose akifa leo ingawa hiyo ni mipango ya Mungu ina maana Congo DR inauzwa kwa wazungu papo hapo?Upo karne mbili za fikra nyuma! Hivi unajua ni mamilioni mangapi ya wazungu mate yanawatoka kwa Congo DRC! You are very naiive!
Ile VAT iondolewe!Huyu huenda kesho atakuwa bandarini maana na yeye huitumia.. Ngoja tuone mikakati gani itakayowekwa.
Ile VAT iondolewe!Huyu huenda kesho atakuwa bandarini maana na yeye huitumia.. Ngoja tuone mikakati gani itakayowekwa.
Dah! Huyu Kabila kama kweli kaweza kusogeza nyumba miaka yote hiyo hata Umoja wa Mataifa hauta kuwa na lakusemaKabila,nimesikia kasogeza mbele uchaguzi mpaka 1918?..kweli?
Tangu amuue baba yake wa kambo mimi sina hamu ya kumjua tena kabila, mnafiki sana huyu.
Ukimkosoa Askari watazingira Nyumba yako Mara 1
Hiyo tittle hapo nyekundu ,jamaa amefikia kiwango cha Uungu?