DAR: Rais Kabila awasili Tanzania

DAR: Rais Kabila awasili Tanzania

Awe makini na safari zake za nje ajue anatawala Congo na sio Tanzania.

Mwenzie mtabe, nguli Mobutu seseko kuku wa zabanga alikuwa akisafiri anahakikisha anaondoka na wakuu wote wa majeshi na funguo zote za maghala ya silaha...afu tuone!!

Congo ni kukaa chonjo!
Mkuu huyu tumemlea wenyewe hapa nyumbani..Amekuja pamoja na mambo mengine kuangalia maeneo yake..si unajua anamiliki.
 
Rais wa jamuhuri ya KIDEMOKRASIA ya Kongo amewasili Tanzania na kupokelewa na Mwenyeji wake Mtukufu John Pombe Magufuli.

Karibu Tanzania Rais Kabila Taifa linakuhitaji ili tudumishe ujirani na urafiki wetu uliodumu kwa muda mrefu na Tunaufurahia Uwezo wako mkubwa wa kuwaongoza wakongo.

View attachment 411584
Unashinda mitandaoni sana allen snr ndio maana pale GEPF leo pamekuwakia.
 
Hapa nashuhudia television ya Taifa ikionesha mapokezi ya Rais kabila moja kwa moja, je kuna umuhimu gani wa kodi za Watanzania kutumika kuonesha hayo mapokezi moja kwa moja huku Bunge live likishindwa kuoneshwa Live!!

e4fa5b8421ee5418cd7daa0946eb038c.jpg
Huna akili, kwani hayo mapokezi kwa mwaka mara ngapi.
 
Amekuja mseveni, amekuja Kagame uliyazungumza hayo?
Influence ya wote hao si unaiona! Niliyaona na kuyasema. Mtu kama Museveni afanye urafiki na mwanao unategemea nini? Tell me your friend I will tell you your behavior!
 
Influence ya wote hao si unaiona! Niliyaona na kuyasema. Mtu kama Museveni afanye urafiki na mwanao unategemea nini? Tell me your friend I will tell you your behavior!
Kama uliwaambia na hao uko sahihi Mkuu. Lakini si mambo yao ya ndani sisi tuko kimaslahi tunaangalia uchumi. Maana ndio majirani zetu hao tutafanyaje
 
Yani watanzania wanaongozwa basi tu,hawataki kabisa kuwa chini ya hawa jamaa.

[HASHTAG]#bombadia[/HASHTAG]
 
Ni rai yetu Mhe. Josee Kabila ashinde kwa kishindo ili tuendelee kunufaika na Congo DR
 
Long Liive Kabila Long Liiive! Katiba tupa kule na nionavyo kwa sasa Congo haijawa tayari kuongozzwa na wacheza ndombolo. Endelea kaka.
 
Back
Top Bottom