DAR: Rais Kabila awasili Tanzania

DAR: Rais Kabila awasili Tanzania

Hapa nashuhudia television ya Taifa ikionesha mapokezi ya Rais kabila moja kwa moja, je kuna umuhimu gani wa kodi za Watanzania kutumika kuonesha hayo mapokezi moja kwa moja huku Bunge live likishindwa kuoneshwa Live!!

e4fa5b8421ee5418cd7daa0946eb038c.jpg
Next time ukilipa kodi TRA waambie pesa yako isitumike kuonesha mapokezi ya viongozi wa nchi rafiki wakimbelea nchini.
 
Ameona yale mazoezi ya jumamosi,anataka msaada wa kutawala
 
Gharama ya kurusha Live ujio wa kabila imelipiwa na nani au gharama imepungua tutaanza kuona bunge.
 
Tuna mahusiano ya Karibu na DRC kwa ziara ya Rais Kabila ni jambo la kawaida tu.
 
Nashangaa wanaoshabikia ujio wa Rais Kabila........
 
Raisi anajivunia nini kutoka kwa mtu huyu....mwenye mikono ya chuma ya kung'ang'ania madaraka hata kwa kupoteza uhai wa wananchi wake....!!??

Au tuamini ule msemo kuwa ndege wafananao daima huruka pamoja.....!!!!
Upo karne mbili za fikra nyuma! Hivi unajua ni mamilioni mangapi ya wazungu mate yanawatoka kwa Congo DRC! You are very naiive!
 
Hapa nashuhudia television ya Taifa ikionesha mapokezi ya Rais kabila moja kwa moja, je kuna umuhimu gani wa kodi za Watanzania kutumika kuonesha hayo mapokezi moja kwa moja huku Bunge live likishindwa kuoneshwa Live!!

e4fa5b8421ee5418cd7daa0946eb038c.jpg
Muhimu sana! Pengine moja katika mazungumzo ni kurejesha wafanya biashara wa drc watumie bandari yetu baada ya kuikacha.
 
Hapa nashuhudia television ya Taifa ikionesha mapokezi ya Rais kabila moja kwa moja, je kuna umuhimu gani wa kodi za Watanzania kutumika kuonesha hayo mapokezi moja kwa moja huku Bunge live likishindwa kuoneshwa Live!!

e4fa5b8421ee5418cd7daa0946eb038c.jpg
Isingeonesha ungesema pia!
 
Wageni wa wanaongea english wanapokea na Makamu au PM, wageni wanaojua kiswahili anaenda mwenyewe mkuu uwanja wa ndege!!!
 
CONGO DR: Tume ya Uchaguzi imeuahirisha Uchaguzi Mkuu kwa kipindi cha miaka 2
- Uchaguzi huo ulitakiwa kufanyika Novemba mwaka huu
[HASHTAG]#JFLeo[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom