Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,809
- 38,866
Amefuta uchaguzi hadi 2018, juzi watu 50 walikufa..Rais wa jamuhuri ya KIDEMOKRASIA ya Kongo amewasili Tanzania na kupokelewa na Mwenyeji wake Mtukufu John Pombe Magufuli.
Karibu Tanzania Rais Kabila Taifa linakuhitaji ili tudumishe ujirani na urafiki wetu uliodumu kwa muda mrefu na Tunaufurahia Uwezo wako mkubwa wa kuwaongoza wakongo.
Vipi yeye sio dikteta?
UKAWA huwa mnajitoa ufahamu wakati mwingine!