DAR: Rais Kabila awasili Tanzania

DAR: Rais Kabila awasili Tanzania

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,174
Reaction score
14,877
Rais wa jamuhuri ya KIDEMOKRASIA ya Kongo amewasili Tanzania na kupokelewa na Mwenyeji wake Mtukufu John Pombe Magufuli.

Karibu Tanzania Rais Kabila Taifa linakuhitaji ili tudumishe ujirani na urafiki wetu uliodumu kwa muda mrefu na Tunaufurahia Uwezo wako mkubwa wa kuwaongoza wakongo.

unnamed.jpg
 
ziara gani hiyo ya ghafra???????????????????????????????????????????????????
 
Hapa nashuhudia television ya Taifa ikionesha mapokezi ya Rais kabila moja kwa moja, je kuna umuhimu gani wa kodi za Watanzania kutumika kuonesha hayo mapokezi moja kwa moja huku Bunge live likishindwa kuoneshwa Live!!

e4fa5b8421ee5418cd7daa0946eb038c.jpg
 
Raisi anajivunia nini kutoka kwa mtu huyu....mwenye mikono ya chuma ya kung'ang'ania madaraka hata kwa kupoteza uhai wa wananchi wake....!!??

Au tuamini ule msemo kuwa ndege wafananao daima huruka pamoja.....!!!!
 
Rais wa jamuhuri ya KIDEMOKRASIA ya Kongo amewasili Tanzania na kupokelewa na Mwenyeji wake Mtukufu John Pombe Magufuli.

Karibu Tanzania Rais Kabila Taifa linakuhitaji ili tudumishe ujirani na urafiki wetu uliodumu kwa muda mrefu na Tunaufurahia Uwezo wako mkubwa wa kuwaongoza wakongo.
Kabila, kagame... Mu7

Balaa
 
Huyu huenda kesho atakuwa bandarini maana na yeye huitumia.. Ngoja tuone mikakati gani itakayowekwa.
 
Back
Top Bottom