GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,652
- 14,247
Wadau nlikuwa napita posta mida huu huku round about ya azam hali si nzuri watu wamejawa na taharuki wanakimbia na hawajui wakimbilie wapi. imesikika milipuko kama mara tatu hivi ambayo labda wataalam wa milipuko watwambie ni nini sababu ya hali hii ya sintofaham.
kuna ambao wamejificha na wengine wamekumbatia nyoyo zao kwa nguvu kabisa ili zisije watoka kwa woga,hofu na tetemo.
Dk hii tena saa 8:40 umesikika tena mlipuko. na haman mwenye kuelewa nini kinaendelea watu wote wamejawa na taharuki. na ni ngumu kujua pa kukimbilia maana mnaweza ona tu ghafla hampati updates then later on mkaja kusikia na gudume pia alikuwepo. acheni kwanza nijibanze hapa hapa na huyu binti wa kihindi kaning'ang'ania sana hataki kuniachia...aisee.... hii hali iendelee huyu binti anaona umuhimu wangu mkubwa....
=====
Taarifa kutoka Dar Es Salaam maeneo ya Posta,walemavu kadhaa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi DSM kufuatia kufunga barabara wakishinikiza kupinga kukamatwa kuingia mjini na baiskeli zao. Mabomu ya machozi yapigwa.

Walemavu waendesha bajaji wamelala njiani,maeneo ya Majengo pacha,sijui ni sokoine drive ile
Mkuu ni walemavu wale wanaoendesha pikipiki za magurudumu matatu maarufu kama bajaji waliandamana so jeshi la polisi likaamua kuwatuliza kidogo. Kisa kuna mwenzao mmoja alikamatwa na polisi ila kwa sasa hali ni shwari.
Nilikuwa corner ya azikiwe na pambaroad, mlipuko umesikika juu magorofa yanayopakana na jengo la benk ya posta linalokarabatiwa