Dar ni eneo hatarishi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dar ni eneo hatarishi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Paul Kijoka, Jul 26, 2011.

 1. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ni imani yangu kuwa mtaniunga mkono kwa hoja zangu kuwa Dar ni eneo hatarishi kuliko maeneo yote nchini TZ. Ni eneo la hatari sana kwa sote kwa maana kwamba wale wenye nazo na kina sisi wakeshaohi. Haya ni mambo yanayofanya Dar kuwa si mahali salama:
  1. kuwa na vishawishi vingi vyenye kuvutia mahusiano ya ngono matokeo yake HIV
  2. Kuwepo kwa wimbi kubwa la vibaka na wezi, matapeli nk
  3. Uchafu wa mazingira uliotukuka
  4. Harufu mbaya takribani maeneo yote yakiongozwa na Kwatumbo, Gaitimaji UDSM, Kivukoni karibu na Waziri mkuu nk
  5. hadha kwa wanafunzi wanaosoma day
  6. Msongamano wa magari na huduma za jamii hasa bank ya NMB
  7. Mgao wa umeme (kwa Dar ni hatari zaidi kwakuwa watu wengi hutegemea umeme)
  8. Rushwa na kutofatwa kwa sheria
  9. uwepo wa dawa za kulevya na watumiaji wengi
  10. Ombaomba wegi na vichaa na wehu
  11. kuna magonjwa ya milipuko hasa kipindupindu Buguruni ikiwa inaongoza
  12. Minara mingi ya simu ambayo husambaza mionzi hatarishi
  13. kuwepo bidahaa feki kwa wingi vikiwemo vyakula
  14. ukosefu wa utawala bora kwa kulemewa na miundombinu
  15. ..............
  ndg, ebu ongezea
   
 2. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  Hakuna maji!!!,
  samaki wenye mionzi ya nuklia
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,784
  Trophy Points: 280
  misafara ya jk KILA KUKICHA
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  + misafara ya magereza+ kuwapo kwa mbu wengi hasa wale waliozalishwa katika viwanja vya jangwani.+ kuwepo na kuzagaa kwa mabomu yaliyochimbia arhini ktk makazi ya watu.+ kuwepo kwa wageni wengi.......................................
   
 5. kijana makini

  kijana makini Member

  #5
  Jul 26, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kila baada ya nyumba bars na guest houses kibao na zote zajaa kuanzia j3 mpk j3 hapo ndipo utakaposhangaa..
   
 6. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #6
  Jul 26, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Masharobaro kibao
   
 7. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Uzinzi wa kiwango cha jehanum
   
 8. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #8
  Jul 26, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watu wengi wanaharisha kutokana na kukosa maji safi na salama....
  Mbu kujazana muhimbili.
   
 9. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #9
  Jul 26, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Tanzania nzima ni hatarishi kwa hivi sasa! Mkoa gani kuna umeme?
   
 10. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #10
  Jul 26, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  bendi nyingi za music kila kona j3 mpkj3
  Makelele mtindo mmjoja........
   
 11. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  - MBOGA ZA MAJANI MABONDENI HASWA MSIMBAZI KUMWAGILIWA MAJI TAKA TENA YENYE KINYESI..............
  -WATOTO WADOGO KUUZA MIILI HUKU WAZAZI WANAKENUA MENO TUU KISA WANALETEWA MSHIKO WA KIJINGA.....
  -GUEST BUBU NA BAR KILA MAHALI MPAKA KWENYE MAENEO YA SHULE.
  -MATAPELI WA KILA AINA ANZIA WA MADINI FEKI(papaa naniliu) mpaka wanaouza cheni na hereni feki mitaani,
   
 12. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  kagera
   
 13. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2011
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,501
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Tena unawaagiza kutoka Japan, baada ya kuwa umejua kuwa wana mionzi ya nyuklia!
   
 14. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #14
  Jul 27, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  Uchawi,ushirikina na biashara ya Uchawi
   
 15. wijei

  wijei JF-Expert Member

  #15
  Jul 27, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Kulipuka mabomu kwenye kambi za jeshi walau mara 1 kwa mwaka
   
 16. kapug

  kapug Member

  #16
  Jul 27, 2011
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Du tutafika kweli? kwa mwendo huu,hapanaaaaaaaa.
   
 17. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #17
  Jul 27, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Askari jeshi kutandika wananchi bila serikali kuhoji.
  Polisi kuua raia kwa risasi za moto.
   
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  miziki kwa sauti ya juu uswazi kwetu! Hakuna kulala!
   
 19. kapug

  kapug Member

  #19
  Jul 27, 2011
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Huku kwetu miziki hiyo inaitwa kikodoro
   
 20. senator

  senator JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Dar oyeeee!
   
Loading...