Uliwahi kukuta eneo linanuka sana na wakazi wa hapo wapo busy na mishe zao bila shida

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Kuna maeneo hapa Dar yananuka sana kama ndio siku yako ya kwanza kufika unaweza ukatatizika ila unakuta wana wapo busy na ishu zao.

Wanakula, wanakunywa, story Sana na utani mwingi ila harufu ya hapo ni hatari, eneo kama soko la feri, Tandika sokoni na nk ni mifano

USSR
 
Spenco pale mbele ya relini buguruni
Daahh .wale watu wanaoishi pale nawapa 100%ya mia ,wale wwanaweza kulala na nyoka na kujifunika shuka moja bila shida yaani pananuka vinyesi pale halafu waanliangalia bwawa love wanakula nje hapo hawanaa habari

Vingunguti machinjioni kuna nuka sijawahi sikia harufi mbaya km ile
 
Mitaro yote ya DAR inanuka MAFI.

Kwa kweRi wakazi wa DAR wana mioyo migumu kama ya fisi, maana sio kwa minuko ile kila pahala. Full mizoga everywhere.

Vijana wa DAR wanakunya sana mitaroni, sijui wana shida gani hawa watoto! Hata wababa wa DAR pia nao wanakunya sana mitaroni.

Ukipita na gari unasikilizia lile VUNDO LA MAVI na MIZOGA linavyoingia madirishani mpaka unahisi kuzirai.

kuna kasehemu fulani pale jangwani kuelekea faya kanatema kama ushuzi.

Cc: Lamomy
 
Kuna maeneo hapa Dar yananuka sana kama ndio siku yako ya kwanza kufika unaweza ukatatizika ila unakuta wana wapo busy na ishu zao .

Wanakula ,wanakunywa ,story Sana na utani mwingi ila harufu ya hapo ni hatari,eneo kama soko la feri ,tandika sokoni na nk ni mifano

USSR
Ukisoma biology ya form 3 hoja inajibika kirahisi... Kuna kitu kinaitwa sensory adaptation. Hata wewe ukiendelea kupiga nao story senses zako zitaadapt na wengine watakushangaa.
Jisomee kidogo hapa kama umesahau How Sensory Adaptation Works
 
Mitaro yote ya DAR inanuka MAFI.

Kwa kweRi wakazi wa DAR wana mioyo migumu kama ya fisi, maana sio kwa minuko ile kila pahala. Full mizoga everywhere.

Vijana wa DAR wanakunya sana mitaroni, sijui wana shida gani hawa watoto! Hata wababa wa DAR pia nao wanakunya sana mitaroni.

Ukipita na gari unasikilizia lile VUNDO LA MAVI na MIZOGA linavyoingia madirishani mpaka unahisi kuzirai.

kuna kasehemu fulani pale jangwani kuelekea faya kanatema kama ushuzi.

Cc: Lamomy
Acha kuwakashifu wananchi wenzako.
 
Kuna maeneo hapa Dar yananuka sana kama ndio siku yako ya kwanza kufika unaweza ukatatizika ila unakuta wana wapo busy na ishu zao.

Wanakula, wanakunywa, story Sana na utani mwingi ila harufu ya hapo ni hatari, eneo kama soko la feri, Tandika sokoni na nk ni mifano

USSR
Buza
 
Spenco pale mbele ya relini buguruni
Daahh .wale watu wanaoishi pale nawapa 100%ya mia ,wale wwanaweza kulala na nyoka na kujifunika shuka moja bila shida yaani pananuka vinyesi pale halafu waanliangalia bwawa love wanakula nje hapo hawanaa habari

Vingunguti machinjioni kuna nuka sijawahi sikia harufi mbaya km ile
Ila spenco pale ni nyoko na nusu kuna kipindi nilipita pale mvua inanyesha hapana hata kuelezea nashindwa ila ki ukweli watu wa pale watakua hawako sawa kiutambuzi wa hewa maana pua zitakua zimekufa.
 
Back
Top Bottom