Dar ni eneo hatarishi

Dar ni eneo hatarishi

Nlikuwa na mpango wakwenda huko,ila itanibidi nijipange upya,kaa!
 
hapo mdundiko haujapita ukasomba watoto!
kwakweli hili jiji noumer! Huko tandale redio zmewekwa masaa ya uongo sa nane usiku kaseti imerekodiwa inasema sa sambili usiku, vinywaji, nyama ambazo hazijapimwa na mataptap yooote yanaliwa pande pamoja na wanawake ambao hawajali hata kidogo matumizi ya condom tena kwa hata miambili hamsini unapata katoto kadogo huko uwanja wa fisi
 
Wakuu, nimeogopa. Nilidhani nimetaja matatizo yote ila naona watu mko juu. Kumbe Dar ni nomaaaaaaa!
 
Ni imani yangu kuwa mtaniunga mkono kwa hoja zangu kuwa Dar ni eneo hatarishi kuliko maeneo yote nchini TZ. Ni eneo la hatari sana kwa sote kwa maana kwamba wale wenye nazo na kina sisi wakeshaohi. Haya ni mambo yanayofanya Dar kuwa si mahali salama:
  1. kuwa na vishawishi vingi vyenye kuvutia mahusiano ya ngono matokeo yake HIV
  2. Kuwepo kwa wimbi kubwa la vibaka na wezi, matapeli nk
  3. Uchafu wa mazingira uliotukuka
  4. Harufu mbaya takribani maeneo yote yakiongozwa na Kwatumbo, Gaitimaji UDSM, Kivukoni karibu na Waziri mkuu nk
  5. hadha kwa wanafunzi wanaosoma day
  6. Msongamano wa magari na huduma za jamii hasa bank ya NMB
  7. Mgao wa umeme (kwa Dar ni hatari zaidi kwakuwa watu wengi hutegemea umeme)
  8. Rushwa na kutofatwa kwa sheria
  9. uwepo wa dawa za kulevya na watumiaji wengi
  10. Ombaomba wegi na vichaa na wehu
  11. kuna magonjwa ya milipuko hasa kipindupindu Buguruni ikiwa inaongoza
  12. Minara mingi ya simu ambayo husambaza mionzi hatarishi
  13. kuwepo bidahaa feki kwa wingi vikiwemo vyakula
  14. ukosefu wa utawala bora kwa kulemewa na miundombinu
  15. ..............
ndg, ebu ongezea
nisaidie tofauti hapo kwenye red
 
Miundombinu hovyo ya maji taka, hasa pale Mabibo hostel wanatapisha vyoo vikiambatana na harufu kali n.k
 
<font size="3"><span style="font-family: times new roman">kagera</span></font>
<br /> <br / Wale jamaani wajanja umeme wao walichukulia Uganda baada ya kuona rongolongo ktk nchi yao!
 
Back
Top Bottom