Dar ni eneo hatarishi

Tanzania nzima ni hatarishi kwa hivi sasa! Mkoa gani kuna umeme?
Kagera upo, Lindi na Mtwara pia upo.

Kwa orodha hiyo ndugu yangu hapa Maisha Bora kwa watu wa Dar ni ndoto kwa kuwa hata Mkuu wa Mkoa ni kaimu, Dar inaongoza kwa makazi holela, rushwa ya ardhi, viongozi na watumishi waserikali wezi, miundombinu mibovu kama Kilwa Road n.k..........
 
Back
Top Bottom