Sahihi ni Dar es salaaam irudi Pwani ilipoenguliwa!toka enzi inaitwa mzizima na kitongojo chake cha Dar es salaam (maeneo ya posta)Kibaha kweli irudi Dar ila Chalinze haina hadhi ya kuwa makao makuu ya mkoa wa pwani.
Labda Mkuranga au Kisarawe.
Niliwahi kushauri iwe kama Lagos. Kwa hali ilivyo Kibaha,Kisarawe,Mkuranga na hata Bagamoyo,literally ni Dar es Salaam tu. Ukiziunga na kupata Conubartion(spelling) unapata zaidi ya jiji.Kwa ujenzi wa njia nane ulio anza leo ni wazi kabisa KIBAHA imeunganiswa na DSM kiasi kwamba baada ya kukamilika kwa ujenzi huo huwezi kutofautisha kati ya Dar na kibaha, ikumbukwe pia kibaha ni mji wa viwanda.
Kwa maana hiyo kwa nini wilaya ya kibaha isiwe ni sehemu ya wilaya ya DSM na chalinze iwe makao makuu ya mkoa wa pwani? hayo ni mawazo yangu tu.
Pongezi kwa JPM
Umejiuliza kwanini wakuja tumekuja? Hakuna mwenyeji Daktari, injinia, dereva wa pilot, walimu wa elimu ya juu in short Dar ingetegemea wataalam wenyeji.....sipati pichaZamani Dar ilikuwa part ya Mkoa wa Pwani, wakuja walipoanza kuujaza mji ikabidi ufanywe mkoa wa pekee.
And,who is "wakuja" by the way?Hii ni kauli ya kibaguzi.Wagunya wengi asili yenu Unyamwezi,Kigoma na Mombasa kama si Tanga.Hata ninyi ni "wakuja" tu mwapaswa "kurudi" mikoani.Zamani Dar ilikuwa part ya Mkoa wa Pwani, wakuja walipoanza kuujaza mji ikabidi ufanywe mkoa wa pekee.
Wakuja ni Waarabu na Hizbu pekeeZamani Dar ilikuwa part ya Mkoa wa Pwani, wakuja walipoanza kuujaza mji ikabidi ufanywe mkoa wa pekee.
Zamani ni lini?!Zamani Dar ilikuwa part ya Mkoa wa Pwani, wakuja walipoanza kuujaza mji ikabidi ufanywe mkoa wa pekee.
Vipi kikokotoo kipya na cha zamani vitaunga lini mkuu??Kwa ujenzi wa njia nane ulio anza leo ni wazi kabisa KIBAHA imeunganiswa na DSM kiasi kwamba baada ya kukamilika kwa ujenzi huo huwezi kutofautisha kati ya Dar na kibaha, ikumbukwe pia kibaha ni mji wa viwanda.
Kwa maana hiyo kwa nini wilaya ya kibaha isiwe ni sehemu ya wilaya ya DSM na chalinze iwe makao makuu ya mkoa wa pwani? hayo ni mawazo yangu tu.
Pongezi kwa JPM
Mbona Ki Jiografia Dar na Kibaha zimeungana hata bila ya hii Barabar long as zinepakana na hakuna kizuizi katikati yao basi zimeungana tayari hizi sehem mbili bila hata hizo barabara zinazoongezewa.Kwa ujenzi wa njia nane ulio anza leo ni wazi kabisa KIBAHA imeunganiswa na DSM kiasi kwamba baada ya kukamilika kwa ujenzi huo huwezi kutofautisha kati ya Dar na kibaha, ikumbukwe pia kibaha ni mji wa viwanda.
Kwa maana hiyo kwa nini wilaya ya kibaha isiwe ni sehemu ya wilaya ya DSM na chalinze iwe makao makuu ya mkoa wa pwani? hayo ni mawazo yangu tu.
Pongezi kwa JPM
Weka hati ya muungano. Tunatakauwazi katika mkataba wa huu muugano.Kwa ujenzi wa njia nane ulio anza leo ni wazi kabisa KIBAHA imeunganiswa na DSM kiasi kwamba baada ya kukamilika kwa ujenzi huo huwezi kutofautisha kati ya Dar na kibaha, ikumbukwe pia kibaha ni mji wa viwanda.
Kwa maana hiyo kwa nini wilaya ya kibaha isiwe ni sehemu ya wilaya ya DSM na chalinze iwe makao makuu ya mkoa wa pwani? hayo ni mawazo yangu tu.
Pongezi kwa JPM
Miaka 20 - 30 nyuma.Zamani ni lini?!
Wabantu si kwao Mashariki ya Afrika, soma historia.Wakuja ni Waarabu na Hizbu pekee
Wabantu si kwao Mashariki ya Afrika, soma historia.Wakuja ni Waarabu na Hizbu pekee
Wakuja ndio watu gani ewe ust'adhat?Zamani Dar ilikuwa part ya Mkoa wa Pwani, wakuja walipoanza kuujaza mji ikabidi ufanywe mkoa wa pekee.