Dar na Kibaha zimeunganishwa

Dar na Kibaha zimeunganishwa

Wazo zuri, hii itasaidia kuchagiza maendeleo maana wa mkoani wakija watajisikia wapo Dar na hawatajazana katikati ya mji
 
Ulikuwa na mada nzuri ambayo ingejadilika kwa mapana ila umeharibu hapo mwisho.... Ladha yote imeondoka
Hizi ni chuki binafsi. Kwani kutoa pongezi kwa aliesimama kidete barabara hii ijengwe ni kosa? Nafikiri wewe unamjua vizuri angeeza kupeleka hela hizo sehemu nyingine bila mjadala.
 
Kwa ujenzi wa njia nane ulio anza leo ni wazi kabisa KIBAHA imeunganiswa na DSM kiasi kwamba baada ya kukamilika kwa ujenzi huo huwezi kutofautisha kati ya Dar na kibaha, ikumbukwe pia kibaha ni mji wa viwanda.
Kwa maana hiyo kwa nini wilaya ya kibaha isiwe ni sehemu ya wilaya ya DSM na chalinze iwe makao makuu ya mkoa wa pwani? hayo ni mawazo yangu tu.
Pongezi kwa JPM

siku zote dar ndiye anayekula mkoa wa pwani
 
Sisi tunafahamu kwanini na tunafahamu kwanini Nyerere anataka kufanywa mtakatifu.
Mbona uko kidini zaidi? Hata Nyerere angekua mtakatifu wewe haitakupunguzia kitu wala mimi. Huo ni utaratibu waliojiwekea wakatoliki na wewe unaweza kujiwekea wa kwako kwa mfano kama utaratibu wenu wa kumwondoa mtoto wa kike shuleni ili awekwe ndani afundwe kukatika na baadae atolewe kwa ngoma.
 
Safi.
 
Wakuja tu.
Kwa hiyo ninyi wa Dar halisi mnafaidika na nini ?
Mkuu wa mkoa wakuja
Wakuu wa wilaya wakuja
Mawaziri wote wakuja
Polisi wakubwa wakuja
Matajiri wazawa wakuja
Warembo wa Dar wakuja
Nyie ni kupika vitumbua na kuua vituMbua na mchiriku na ngoma za ndani na kukaa Buguruni na Gongo la mboto
 
Kwa ujenzi wa njia nane ulio anza leo ni wazi kabisa KIBAHA imeunganiswa na DSM kiasi kwamba baada ya kukamilika kwa ujenzi huo huwezi kutofautisha kati ya Dar na kibaha, ikumbukwe pia kibaha ni mji wa viwanda.
Kwa maana hiyo kwa nini wilaya ya kibaha isiwe ni sehemu ya wilaya ya DSM na chalinze iwe makao makuu ya mkoa wa pwani? hayo ni mawazo yangu tu.
Pongezi kwa JPM
Ndio maana ukitoka mikoa ya bara kwa basi, hakuna nauli ya mkoa wa Pwani. Kuanzia mlandzi wote wanalipa nauli ya dsm
 
Back
Top Bottom