Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,848
Unakubaliana na nini?
Kwani waliokutwa hapo sio wakuja?
Tanzania hii makabila YOTE ni ya wakuja.
Ni Jinga au Masikini wa elimu tu ndio atapinga hilo.
Kwani waliokutwa hapo sio wakuja?
Tanzania hii makabila YOTE ni ya wakuja.
Ni Jinga au Masikini wa elimu tu ndio atapinga hilo.
Nakubaliana na wewe mkuu kwa asilimia 100