Dar: Mtoto wa miaka 17 ampiga risasi mtoto mwenzake na kumsababishia kifo

Mtoto wa miaka 17 anacheza na mtoto wa miaka 10 ?? Hapo kuna walakini labda wangesema alikuwa anafundishwa masomo lakini kucheza??
Kuna walakini

Nakumbuka stori ya zamani kuna dogo alienda kucheza kwa rafiki yake akapigwa risasi na baba wa rafiki yake wakasema ilikuwa bahati mbaya eti risasi ilichomoka wakati bunduki inasafishwa

Nyumba za watu wengine zina mambo ya kutisha na giza sana
Zama hizi kila mtoto akae kwao sio
Kama zamani enzi zetu
 
Huyo dogo mpaka hapo ashaqualify kuwa jambazi. Huo ujasiri sio kawaida umpige mwenzako risasi then unambeba mpaka kwao.
 
Motive ya mauaji ni nini? Wivu wa kimapenzi au wamedhulumiana kibiashara? Nop, haingii akilini sababu muhanga ni mtoto wa miaka 10!
1. Inawezekana ilikuwa accidental discharge...walikuwa wanacheza, kumbe baba aliiacha moja kwenye chamber.
2. Inawezekana muhanga alikuwa anaichezea, akajiipiga mwenyewe (kwa bahatimbaya), na ili dogo ku cover story, ilibidi aseme shoti ya umeme.
3. Pamoja na yote hayo, funzo kwa wazazi wanaomiliki silaha za moto wanapaswa kukumbuka sheria namba moja ya umiliki wa silaha kuwa 'konkodiko mlango wa chuma, ukiufungua hauna huruma'.
Poleni wahanga (pande zote mbili za familia).
 
Tatizo wengi wanaanza kutoa hukumu alafu hukumu iliyotolewa ndo inatengenezewa story.
 
Mtu mkubwa ndo kafanya dogo atakuwa kabebeshwa zigo tu.
lakini shahidi ambaye ni ndugu wa marehemu anasema kijana alikuja kambeba marehemu na kasema alipigwa na shoti ni jukumu la mtuhumiwa kusema mahakamani nani n muhusika
 
Uzembe una gharama sawa na ujinga

Mambo yameenda kombo mzee amewekwa kwa ndichi Kwanza
 
Sisi ilikuwa unasalimia kama ni mtu mpya,unatambulishwa kisha unandoka eneo hilo,kisha wakikuhitaji unaitwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…