Dar: Mihadhara ya kidini yapigwa marufuku!

lugha kama hz ndio zinachochea uhasama, watu wakiamua kufanya kweli mnaililia serikal na jesh lenu

Unafikiri sisi hatuwezi kuleta noma?.... Mna lipi ambalo mmetuzidi? Zaidi ya hekima sisi tuna hekima na busara zaidi so hatuwezi kugombana na mataahira buta yakiendelea kutukalia kichwani tutayanyoosha kweli kweli
 
Hata hali ikiwa swari hatutaki kiona mashehe wakishika Biblia kwenye mihadhara yao na kuistafsiri wanavyotaka wao. Kila mtu ahubiri cha dini yake.

Dini yao ndiyo inawataka washike Biblia Takatifu. Wasipofanya hivyo, watakula wapi!!
 
Una mtisha nani mkuu toka kwenye keyboard nenda kapambane nao kariakoo kama hujaja hapa umeshikilia utumbo wako.
Unafikiri sisi hatuwezi kuleta noma?.... Mna lipi ambalo mmetuzidi? Zaidi ya hekima sisi tuna hekima na busara zaidi so hatuwezi kugombana na mataahira buta yakiendelea kutukalia kichwani tutayanyoosha kweli kweli
 
Serkali ya kiislamu hii,
tunaongozwa kwa sharia sema tu watu hatujui.

Fungia Radio imaan ndio uje na habar kama hizi.
 
Yaani waislamu wachache wanaochangia mada humu wanasadifu mengi sana kuwahusu ndg zao ambao hawajakomboka kifkira bado.
 
Nafiri ingetakuwa kupigwa marufuku nchi nzima,na pia hii radio imani kuchunguzwa kwa sababu inachangia kuongeza chuki.
 
kuna kigazeti al nuur na kisiwa nafkiri chief editor wake ni shetani na msaidizi ni pepo mchafu.
 
Serikali inafanya makosa makubwa kuacha hii Redio WAPO ndio chanzo ni kashfa na matusi makubwa kwa viongozi wa kiislam.

Mkigoma,
Kuujua ukweli ni jambo moja, na kuukubali ukweli ni jambo jingine. Naamini wewe unaujua ukweli ila umechagua kwa makusudi au umeamua kutokubali ukweli.
 
safi sanaaa
~manzese
~ ubungo mataa
~ buguluni
~ mwenge
~ temeke n.k
Stop wapinga kristu
AMANI INATAKUWEPO
safi RC

V
SENGEREMA
 
Uzuri wa viongozi wetu huendesha gari kwa rivasi,kwani baada ya kutumia mbinu ya kinga ni bora kuliko tiba wao hutumia tiba ni bora kuliko kinga.
 
Back
Top Bottom