Dar: Marekani Kutoa $3.14 billion kusaidia sekta ya Afya

Wako wapi waliokuwa wanashabikia wale wanaharakati njaa akina Tausi Likokola na Liberatus Mwang'ombe waliokuwa wanalamba viatu vya Senator Ted Cruz? Yaani Tundu aropoke ule ushuzi wake halafu muemde mlielie kwenye bunge la Marekani??View attachment 3620555
Mwenye njaa Daima hachagui chakula,Na mtoto wa Lambo hadeki
 
UHUSIANO MZURI WA NCHI NA NCHI,HAUWI SAWA NA UHUSIANO WA RASHID NA HUSSEIN,
#chagadwma eleweni hilo,mnajitahidi Tanzania ishidwe na ifungiwe lakini hamtaweza kamwe!

..tatizo watekaji, wauwaji, na mafisadi, wamefichama ndani ya serikali, na Ccm. Na hao ndio wanaharakati wanataka wawekewe vikwazo.
 
Serikali za Tanzania na Serikali ya Marekani zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya ushirikiano katika sekta ya afya ya miaka mitano itakayotekelezwa kuanzia mwaka 2026 hadi 2030, yenye thamani ya zaidi ya dola za Marekani bilioni 3.14 kupitia uwekezaji wa pamoja wa nchi hizo mbili.

Makubaliano hayo yanajengwa juu ya mafanikio ya ushirikiano wa muda mrefu kati ya Tanzania na Marekani katika sekta ya afya, yakilenga kuimarisha mifumo ya afya kwa kuboresha hospitali, maabara na uwezo wa wataalamu wa afya ili kuboresha utoaji wa huduma

Kesho hawa waleta hoja ndiyo watasema wa kwanza kwamba hatuhitaji Marekani na tusiingiliwe wakati huo huo wanaomba pesa za afya ambazo hatuna na hatuna uwezo😂 . Huwezi kuchagua nini cha washamini kusema. Yaani tajiri anakusaidia na kukupa mbinu za kutoa umasikini lakini Mama Samia na mkwe wake sasa wanapanga jinsi ya kuiba hizo pesa ili familia yao inufaike zaidi🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️
 
Kuna bill senate ya uongozi wa Mama Samia na uongozi fake iko palepale. Huu sio msaada kwa samia na mkwe wake ni msaada kwa maaikini wa Tanzania ambao hawana dawa wala vifaa
 
Wako wapi waliokuwa wanashabikia wale wanaharakati njaa akina Tausi Likokola na Liberatus Mwang'ombe waliokuwa wanalamba viatu vya Senator Ted Cruz? Yaani Tundu aropoke ule ushuzi wake halafu muemde mlielie kwenye bunge la Marekani??View attachment 3620555
Ukisoma bill ya U.S. Senate hutashindwa kugundua kwamba Marekani haina shida na Tanzania. Obviously, Marekani ina shida na genge la mazafakas wanaoongoza Serikali ya Tanzania, na inajipanga kucheza nalo kwa style ambao inaeleleweka vizuri kwake!
 
Hahahaaa CCM wako desperate sana.

Hii haizuii na haitozuia viongozi wenu kuwekewa vikwazo.
Mbona wewe ndo inaonekana uko desperate mkuu! Taarifa imetoka kama zinavyotoka taarifa zingine tu na Wala haijazungumzia habari za kutowekewa vikwazo mtu (sawa na ucnambuzi na matumaini yenu wanachadema)
 
Ukisoma bill ya U.S. Senate hutashindwa kugundua kwamba Marekani haina shida na Tanzania. Obviously, Marekani ina shida na genge la mazafakas wanaoongoza Serikali ya Tanzania, na inajipanga kucheza nalo kwa style ambao inaeleleweka vizuri kwake!
Lilisikika hater Moja lisilojua chochote likiweweseka. Mamamamamammamamaeee, huyo ndo Samia.
 
Serikali za Tanzania na Serikali ya Marekani zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya ushirikiano katika sekta ya afya ya miaka mitano itakayotekelezwa kuanzia mwaka 2026 hadi 2030, yenye thamani ya zaidi ya dola za Marekani bilioni 3.14 kupitia uwekezaji wa pamoja wa nchi hizo mbili.

Makubaliano hayo yanajengwa juu ya mafanikio ya ushirikiano wa muda mrefu kati ya Tanzania na Marekani katika sekta ya afya, yakilenga kuimarisha mifumo ya afya kwa kuboresha hospitali, maabara na uwezo wa wataalamu wa afya ili kuboresha utoaji wa huduma
Wako wapi waliokuwa wanashabikia wale wanaharakati njaa akina Tausi Likokola na Liberatus Mwang'ombe waliokuwa wanalamba viatu vya Senator Ted Cruz? Yaani Tundu aropoke ule ushuzi wake halafu muemde mlielie kwenye bunge la Marekani
Kesho hawa waleta hoja ndiyo watasema wa kwanza kwamba hatuhitaji Marekani na tusiingiliwe wakati huo huo wanaomba pesa za afya ambazo hatuna na hatuna uwezo😂 . Huwezi kuchagua nini cha washamini kusema. Yaani tajiri anakusaidia na kukupa mbinu za kutoa umasikini lakini Mama Samia na mkwe wake sasa wanapanga jinsi ya kuiba hizo pesa ili familia yao inufaike zaidi🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️
Wapumbavu sana nyinyi, mmeumbuka sana. Mlilegeza matako mkizidhania wale wabeba box na malaya wa Marekani wanaweza kusikilizwa na Senate ya USA kuliko Serikali
 
Serikali za Tanzania na Serikali ya Marekani zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya ushirikiano katika sekta ya afya ya miaka mitano itakayotekelezwa kuanzia mwaka 2026 hadi 2030, yenye thamani ya zaidi ya dola za Marekani bilioni 3.14 kupitia uwekezaji wa pamoja wa nchi hizo mbili.

Makubaliano hayo yanajengwa juu ya mafanikio ya ushirikiano wa muda mrefu kati ya Tanzania na Marekani katika sekta ya afya, yakilenga kuimarisha mifumo ya afya kwa kuboresha hospitali, maabara na uwezo wa wataalamu wa afya ili kuboresha utoaji wa huduma
well done US and TZ government for bilateral agreements that going to transform health sectors, for the benefits of citizens of both two countries 👊
 
Serikali za Tanzania na Serikali ya Marekani zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya ushirikiano katika sekta ya afya ya miaka mitano itakayotekelezwa kuanzia mwaka 2026 hadi 2030, yenye thamani ya zaidi ya dola za Marekani bilioni 3.14 kupitia uwekezaji wa pamoja wa nchi hizo mbili.

Makubaliano hayo yanajengwa juu ya mafanikio ya ushirikiano wa muda mrefu kati ya Tanzania na Marekani katika sekta ya afya, yakilenga kuimarisha mifumo ya afya kwa kuboresha hospitali, maabara na uwezo wa wataalamu wa afya ili kuboresha utoaji wa huduma
Weka yale mavi kidogo . Ndiyo Yale unayowekaga Ili tuone. Una siku nyingi hujaweka kinyesi chako sijui kwann umekuwa hivyo siku hizi
Weka
 
Serikali za Tanzania na Serikali ya Marekani zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya ushirikiano katika sekta ya afya ya miaka mitano itakayotekelezwa kuanzia mwaka 2026 hadi 2030, yenye thamani ya zaidi ya dola za Marekani bilioni 3.14 kupitia uwekezaji wa pamoja wa nchi hizo mbili.

Makubaliano hayo yanajengwa juu ya mafanikio ya ushirikiano wa muda mrefu kati ya Tanzania na Marekani katika sekta ya afya, yakilenga kuimarisha mifumo ya afya kwa kuboresha hospitali, maabara na uwezo wa wataalamu wa afya ili kuboresha utoaji wa huduma

Hii billion 3 USD mjona kama vile ni kiini macho...!!?

Yaani hata Millennium Challenge hiyo pesa haikutolewa. I doubt ... can someone confirm about this!!?

US$ 3 billion ni pesa ndefu sana.
 
Bill bado haijapitishwa kuwa sheria kwa hiyo misaada bado iko wazi untiil......
 
Sema misaada ya Marekani inakuwaga na conditions za kipuuzi sana. Mimi nilipataga kazi ya ku-supply vitu kwenye taasisi iliyokuwa inafadhiliwa na USAID nikashangaa wameambatanisha na maduka yaliyopo USA na UK ambako ninaweza kupata hivyo vitu. Yaani nililazimika kuagiza tena kwao. Nilichukia mno. Utakuta hizi $3b zitarudi tena kwao kihuni.
 
Hii billion 3 USD mjona kama vile ni kiini macho...!!?

Yaani hata Millennium Challenge hiyo pesa haikutolewa. I doubt ... can someone confirm about this!!?

US$ 3 billion ni pesa ndefu sana.
USA wanatoa $ 1.3 na Tz inayobaki

Screenshot_20260704_075933_X.jpg
 
Bill bado haijapitishwa kuwa sheria kwa hiyo misaada bado iko wazi untiil......
Wanaharakati uchwara kwa kujidanganya!! Bado mnaamini issues za Tundu kuwa ndani na matokeo ya 29/10 yanaweza kuathiri mahusiano ya Tz na USA?? Punmbavu sana
 
Back
Top Bottom