Mbona unanitoa kwenye reli?Aliyeegemea X5
Mwenyewe nimekuja kwa bajaj
Mbona unanitoa kwenye reli?Aliyeegemea X5
Tunachafuana bana na kupeana mafua yasio na ulazima, watulie wamalize ndio tuhamie, tunawahi kuhamia kama mijusi bana
Mambo ya kimagufuligufuli, sijui haraka ya nini kuhamia kwenye facility ambayo haijakamilika...desperation katika kila jambo, hovyoNiko hapa Mbezi Mwisho hatua chache kabisa karibu na stand mpya ya Mbezi baadhi ya. Mabasi yaliyotoka mkoani yameshaanza kuingia kituo kikuu cha mabasi Mbezi.
View attachment 1634423View attachment 1634423
Picha nyingine nalea View attachment 1634424View attachment 1634425View attachment 1634433View attachment 1634442View attachment 1634444View attachment 1634444
Singida mkuuHapo ni Dar au Shinyanga?
Una umaskini wa fikraSimu yenyewe Tecno
Wewe ungekuwa na utajiri wa hizo fikra si ungekuwa tajiri au mtu maarufu Tanzania.Una umaskini wa fikra
Hapo ni nyanguge,,mbezi mwisho ya nyanguge
Niko hapa Mbezi Mwisho hatua chache kabisa karibu na stand mpya ya Mbezi baadhi ya. Mabasi yaliyotoka mkoani yameshaanza kuingia kituo kikuu cha mabasi Mbezi.
=====
Kituo kipya Cha Mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi Cha Mbezi Luis kimeanza rasmi majaribio leo ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amesema kwa Sasa kituo hicho kinaweza kuanza kutumika Kutokana na miundombinu muhimu ya kituo kuwa Katika Hali mzuri.
Akizungumza wakati wa zoezi la majaribio lililowahusisha Askari wa usalama barabarani na Wadau wa vyombo vya usafiri, RC Kunenge ameshuhudia Mabasi yakiingia na kutoka pasipo usumbufu wowote.
Aidha RC Kunenge amesema kwa Sasa kinachoendelea ni matengenezo madogomadogo ya umaliziaji wa jengo na miundombinu mingine ambapo Hadi Sasa Ujenzi umefikia zaidi ya 90%.
Pamoja na hayo RC Kunenge amesema Ujenzi wa barabara ya kuingia kituoni hapo nao unaendelea vizuri chini ya Wakala wa TANROAD ambapo amewahimiza kuongeza kasi ili wakamilishe mradi mapema.
Hata hivyo RC Kunenge ameongeza kuwa wamejipanga vizuri kuhakikisha maagizo ya Rais Dkt. John Magufuli ya kutaka Ujenzi ukamilike mwishoni mwa mwezi huu yanatimia.
View attachment 1634424View attachment 1634425View attachment 1634433View attachment 1634442View attachment 1634444View attachment 1634930View attachment 1634931View attachment 1634932View attachment 1634933View attachment 1634934View attachment 1634935View attachment 1634936View attachment 1634937View attachment 1634938View attachment 1634939View attachment 1634940
Si ile ya masanza kona? AuUnapafahamu Nyanguge?
Si ile ya masanza kona? Au
Ila hii stendi ni fire 🙉🙉Ukweli HAKUNA KITU HAPO, hawa viongozi wetu kila mtu ana hofu, sasa kilichofanyika mpaka kukimbiza watu asubuhi yote pasi taarifa ni nini, wananchi wanajua ni 31.11.2020 ndiyo mabasi yangeanzia hapo.
Otherwise kuna kitu cha ajabu kimefanyika kwenye hiyo stendi, angalia hizi picha na hicho kitu kilicholetwa pale juu 😭😭.
View attachment 1635019
View attachment 1635020
Stendi ya singida haina vumbi bossSingida mkuu