Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

Status
Not open for further replies.
laiti kama kelele hizi
zinazopigwa sasa juu ya mauaji ya kikatili yanayofanywa na jeshi letu
tusingeweka double standards tungefanikiwa kupambana na ukatili huu pia
na kuiondoa ccm madarakani kirahisi.Nakumbuka mauaji ya Zanzibar baada
ya maandamano yalikuwa makubwa sana,idadi ya wafu ilkuwa kubwa na mali
nyingi ziliangamia lakini watanzania wakashawishiwa wayaone yale ni
tatizo la kichama cha cuf na udini wa wazanzibar ikapita, yakaja ya
morogoro watu wakaamka wakaanza piga mayowe yakapita, yakaja ya Iringa
duuh ni hatari.HIVI TUNGEANZA MAKELELE HAYA TANGU MWANZO TUNGEKUWA
TUMEFANIKIWA MAPEMA KABISA.Tatizo ni ubaguzi wa watanzania ndio
unaotumaliza! Na ngoja tuone uchaguzi ukikaribia utasikia tu hili ni
chaguo la mungu,hili lina maslahi ni dini yetu,hili linatufaa na
kadhalika!!

kwa ushuhuda niliouona Zanzibar harakati nyingi za kisiasa Zanzibar huendana na maneno ya kashfa dhidi ya ukristo na uharibifu wa makanisa tofauti na huku Bara ambapo siasa hubaki kuwa siasa na dini hukaa kado,
Ndo maana wakati mwingine inakuwa ngumu harakati za kisiasa znz kuungwa mkono na watanzania walio wengi
 
laiti kama kelele hizi zinazopigwa sasa juu ya mauaji ya kikatili yanayofanywa na jeshi letu tusingeweka double standards tungefanikiwa kupambana na ukatili huu pia na kuiondoa ccm madarakani kirahisi.Nakumbuka mauaji ya Zanzibar baada ya maandamano yalikuwa makubwa sana,idadi ya wafu ilkuwa kubwa na mali nyingi ziliangamia lakini watanzania wakashawishiwa wayaone yale ni tatizo la kichama cha cuf na udini wa wazanzibar ikapita, yakaja ya morogoro watu wakaamka wakaanza piga mayowe yakapita, yakaja ya Iringa duuh ni hatari.HIVI TUNGEANZA MAKELELE HAYA TANGU MWANZO TUNGEKUWA TUMEFANIKIWA MAPEMA KABISA.Tatizo ni ubaguzi wa watanzania ndio unaotumaliza! Na ngoja tuone uchaguzi ukikaribia utasikia tu hili ni chaguo la mungu,hili lina maslahi ni dini yetu,hili linatufaa na kadhalika!!
Tatizo lilikuwa ni CUF wenyewe zaidi, walizionyesha sifa zilizosaidia utawala kueneza propaganda.CUF hawakujipambanua vizuri kuweza pata imani ya wananchi.

CDM inawashangaza wengi hata viogozi wa CUF kwa kufanya mambo kuwa marahisi sana, na kila siku ikipita wanaonyesha kutegua mitego,wakati CUF walikuwa wakiingia.
 
quote_icon.png
By NasDaz

It's very unfortunate that asilimia kubwa wanaokashifu maandamano haya tena kwa lugha za kejeli ni wale wale wanaofahamika kwamba ni wafuasi wa CHADEMA!! Hapa ndipo watu kama akina Mkandara wanapopata taabu kwani pamoja na Uislamu wao bado ni wapenzi wakubwa wa CHADEMA!!

Hivi sasa akiingia, atalazimika kujibishana na wale wale ambao wana itikadi moja katika kuiondoa CCM madarakani! Kama kweli CHADEMA wana lengo la kweli la kutafuta haki basi nilitarajia wawaunge mkono watu mbalimbali na makundi yao ikiwa kuna wanachokipigania! Na kama si lazima kuwaunga mkono, basi busara ingekushauri kukaa kimya kuliko kuwadhihaki kwa maneno ya kejeli! Hali kama hii ndiyo inayowafanya baadhi ya Waislamu waamini kwamba CHADEMA ni kwa ajili ya watu fulani tu......inakuwa ngumu kuyapinga madai kama hayo hasa ukizingatia maoni ya Pro-CHADEMA.

Mie nilikimbilia eneo la tukio muda mrefu tu uliopita; pale hamna cha CHADEMA wala CCM na bango mojawapo linasomeka "POLISI ACHENI DHULUMA, SENSA IMEFELI MAUAJI YA NINI?" Sasa mnataka kusema watu kama hao hawana madai ama hojaya msingi?! BInafsi, nimehesabiwa sensa na sikuona sababu ya kususia zoezi hilo. Hata hivyo, siwezi kuwa mkosefu wa busara ikiwa nitadhihaki wale waliogomea na kuwaita wajinga kwani nafahamu, kila mtu ana jambo lenye maslahi kwake. Lenye maslahi kwako si lazima liwe na maslahi kwa mwingine.

Ukifahamu hivyo, basi utagundua ni ujuha kumdhihaki mwingine kwa kumtaka aamini kama unavyoamini wewe! Anyway, kama unataka aamini kama unavyoamini wewe; ya nini basi kumtaka afanye hivyo huku ukimkejeli?!
Mkuu NasDaz, hicho kitu ulichokiandika hapo juu kimenishangaza sana. Na namba unijibu sincerely... Kuna watu kama akina Zomba ambao wanajulikana ni waislam na ni pro-ccm wamekuwa wakiwabeza chadema na kufikia hatua hata ya kukejeli kifo cha mwandishi wa habari daudi mwangosi kilichosababiswa kwenye ufunguzi wa tawi la cdm. Nina uhakika asilimia 100 umezisoma posts zao zote. Swali. Ni kwanini mnapenda sana kusema wanachama wa cdm wanaudhihaki uislam pale inapoonekana wanapinga(inaweza kuwa kwa kejeli) kitu fulani cha waislam ambacho wanaona ndivyo sivyo lakini linapokuja suala la wana ccm (ambao wanajulikana ni waislam eg zomba) kupinga mambo ya chadema kwa kejeli na dharau mfano maandamano ya chadema, mnakaa kimya? Hawa watu wanaoukashi ukristu . Mbona hamsemi wakristu wataogopa kuingia ccm? Kwanini sensitivity yako inakuja pale tu wanachama wa chadema wapopinga kitu cha kiislam lakini siyo pale wanachama wa ccm(wale waislam) wanaopinga kitu cha cdm tena kwa dharau na kejeli hata kama uhai wa mtu umetoka? Mifano tele imo humu...
 
sweke 34,
Nani alikuambia CCM ni chama cha Waislam? Hii kitu umeng'ang'ania sana sijui unatumia vigezo gani, CCM ina wabunge zaidi ya 250 kati ya hao wabunge Waislam hawazidi hata 50 hawafiki.

Ngoja nikupe orodha kidogo ya wabunge halafu utaniambia wamechaguliwa na Waislam, tuanze na John Komba, Aggrey Mwanri, Dr Cyril Chami, Ole Sendeka, Peter Serukamba, Janaury Makamba, Deo Filikunjombe, Steven Wassira, Charles Tzeba, Anna, Kilango, Anne Makinda, Lusinde, Mkuchika, Mizengo Pinda, Mwigulu Nchemba, Lazaro, hawa ni kwa uchache tu kama CCM chama cha Waislam hawa wabunge wana faida gani na Waislam.

Wakiristo ndio wanafaidika na CCM hata usipoipigia kura CCM Waislam hawana cha kupoteza.
 
Last edited by a moderator:

Wapi niliposema CCM ni chama cha waislam? NasDaz amebandika bandiko hapo juu ambalo lengo lake ni kitu kilekile mnachofanya humu ndani wewe na wenzako: Inapotokea wana JF kuwakosoa waislam(kwa busara au kejeli), basi mnahusisha hicho kitendo na wanachama wa CDM. Lengo ni waislam waikimbie chadema. Ni muislam mmoja tu humu ambaye siye mnafiki anayefunguka bila kuwa na unafiki. Mkandara. Yeye bila kumung'unya maneno anasema sababu moja ya kuikimbia CCM ni makubaliano kati ya Serikali ya ccm na Kanisa (MoU). Asema makubaliano hayo yalipendelea Kanisa . Anasema hii ni dhulma kwa waislam.
NasDaz anasema hata Mkandara anapata wakati mgumu anaposikia baadhi ya wana CDM wanaukashifu Uislam. Hivi hii MoU si ni zaidi ya kuukashifu Uislam kwa mtazamo wenu? si ni dhulma hii? Mbona hatusikii mkitaka kuikimbia CCM badala yake mnatubeza chadema kwamba tutalia tu, CCM itatawala milele...
Ninachotaka afanye NasDaz ni kuondoa hizi double standards. Ni ugonjwa mbaya sana.
Wewe, Zomba na wengine ni mara ngapi mmekihusisha chadema na kanisa ingawa hata huo uhusiano wake hauonekani? NasDaz anakuwa anajificha wapi wakati nyinyi(wewe,zomba na wengine) mnalihusisha Kanisa na Chadema kwa kejeli nyingi?
Acheni hizo bana.
 
Halafu eti nimepigwa ban...mods wa JF saa nyingine wanakuwa kama akina Chagonja and Co...
 
Precisely!kwa mfano huyu Abdalah Mgulunde ambaye kwa sasa ni marehemu alikuwa askofu mkuu wa kanisa katoliki jimbo la Tabora miaka ya tisini!!!

Alikuwa anaitwa Marius Abdalla Mgulunde na siyo Abdalla Mgulunde tusipotoshe.
 
Mkuu adolay,
Wewe ni Mkiristo mie ni Muislam siku zote tujadiliana kwa nidhamu bila kejeli za kidini wala dharau mpaka mmoja atapochoka na munakasha anaondoka zake kwa amani.

Mkuu lakini leo naona umeshindwa kuwa fair kwenye bandiko lako kwa kwa kejeli na matusi ya Chadema wenzako na lawama umewatupia CCM.

Mkuu sidhani kama kuna chama cha siasa ambacho kinaweza kufanikiwa kuchukuwa nchi kikitegemea wafuasi wa dini moja, tujenge heshima kwenye imani zetu hakuna mbora zaidi ya mwingine, takuambia kitu kimoja wananchi wakiungana kwa pamoja ndio wanaweza kuibana serikali, lakini jamaa zako wanashindwa kuelewa kejeli na dharau dhidi ya Waislam wanazidi kumualibia Dr Slaa na Chadema mbele ya jamii ya Kiislam.

Kama tutaendelea hivi tusahau kuitoa CCM madarakani.

Maoni na ushauri wako ni wa busara sana. Kama ushauri huu huu mzuri ungeelekezwa kwa vikundi mbalimbali vya Kiislamu ambavyo huwa vinapinga kila jitihada au hoja inayotolewa na CDM kudai haki na kulinda raslimali za wananchi wa Tanzania kwa manufaa ya watanzania wote, basi hicho unachokizungumza cha wananchi kuungana na kuibana serikali kutimiza wajibu wake ingekuwa kazi rahisi!! Ushahidi upo wazi baadhi ya vikundi vya Kiislamu vimekuwa vikikejeli na kubeza jitihada za CDM (ambapo ninafikiri ni kutokana na propoganda za CCM kuwa CDM ni chama cha Kikristu). Kwa hivyo haishangazi baadhi ya wakereketwa wa CDM kuhoji kulikoni (au hata kutumia fursa hii kuwaelimisha Waislamu) ikizingatiwa kuwa wamefanya maandamano ya amani dhidi ya udhalimu wa vyombo vya dola siku chache tu baada ya vyombo hivyo hivyo kufanya mauaji ya kinyama kwa kisingizio cha kuzuia si maandamano ya amani bali wanachama kukusanyika mahali ili kufungua tawi la chama chao. Hapa hapa baadhi ya wale wanaojiita Waislamu wamekejeli hata huyo marehemu!!! Kumbe wanachofanya CDM kufanya maandamano ya amani ni kile kile ambacho Waislamu wamefanya japokuwa madai ya haki ni katika viwango tofauti - macro vs. micro issues. Tuendeleze kampeni ya kuelimishana na nchi hi itakombolewa kutokamikononi mwa manyang'au.
 
Mkuu NasDaz, hicho kitu ulichokiandika hapo juu kimenishangaza sana. Na namba unijibu sincerely... Kuna watu kama akina Zomba ambao wanajulikana ni waislam na ni pro-ccm wamekuwa wakiwabeza chadema na kufikia hatua hata ya kukejeli kifo cha mwandishi wa habari daudi mwangosi kilichosababiswa kwenye ufunguzi wa tawi la cdm. Nina uhakika asilimia 100 umezisoma posts zao zote. Swali. Ni kwanini mnapenda sana kusema wanachama wa cdm wanaudhihaki uislam pale inapoonekana wanapinga(inaweza kuwa kwa kejeli) kitu fulani cha waislam ambacho wanaona ndivyo sivyo lakini linapokuja suala la wana ccm (ambao wanajulikana ni waislam eg zomba) kupinga mambo ya chadema kwa kejeli na dharau mfano maandamano ya chadema, mnakaa kimya? Hawa watu wanaoukashi ukristu . Mbona hamsemi wakristu wataogopa kuingia ccm? Kwanini sensitivity yako inakuja pale tu wanachama wa chadema wapopinga kitu cha kiislam lakini siyo pale wanachama wa ccm(wale waislam) wanaopinga kitu cha cdm tena kwa dharau na kejeli hata kama uhai wa mtu umetoka? Mifano tele imo humu...

Labda tu nikuambie kitu kimoja.....nilishaacha kuchangia post hii baada ya kuona michanho mingi imekaa kidini dini....lakini utake usitake; hata ukianza kuangalia mwanzo wa hii thread unaweza kugundua ni kundi gani lilianza kudhihaki kundi lingine.....inawezekana ukaona taabu kupitia, lakini tumia akili ya kawaida! Thread inahusu Waislamu kuandamana, then there's no way Muislamu huyo huyo aanze kudhihaki hao waislamu wanaoandamana lakini possibly si ajabu kuona Mkristo akianza kudhihaki hao wanaoandamana. Kutokana na logic hiyo ndogo tu, ndipo utagundua kwamba ni baadhi ya Wakristo ndio walianza kuwadhihaki hao waislamu kwa maneno ya kejeli na ndipo ilipotokea waislamu nao kujibu mapigo kwani viwango vya ustahimilivu wanadamu tunatofautiana!

But all in all, ni kama nimepoteza muda kueleza yote hapo juu...labda zama kwenye post yako hapo nilipo-highlight na RED....umesema: "Na namba unijibu sincerely... Kuna watu kama akina Zomba ambao wanajulikana ni waislam na ni pro-ccm wamekuwa wakiwabeza chadema". Umesema wazi kwamba hao akina Zomba wanawabeza CHADEMA....!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Binafsi kama ingekuwa mnaibeza CCM, wala nisingeandika nilichoandika, lakini mnabeza Uislamu na Waislamu. Sasa ikiwa akina Zomba wao wanabeza CHADEMA, inakuwaje watu kama wewe mbeze Uislamu?! Sasa hapo ni nani anatakiwa kumshangaa mwenzake?! Mimi au wewe unaamua kuubeza Uislamu simply because akina Zomba wanaibeza CHADEMA? Kwani ni nani aliyekumbia hasimu wa CHADEMA ni Uislamu?! Hasimu wa Uislamu ni Ukristo, sasa ina maana unataka ku-conclude kwamba CHAdEMA ndo Ukristo?! Na bahati mzuri, sio kwamba ulijichanganya, kwani hata ukiangalia nilipo-highlight kwa BLUE, bado unasisitiza kwamba akina Zomba wanabeza CHADEMA....!!!! So, kwavile Zomba (CCM+Mwislamu) anaibeza CHADEMA, basi sweke 34 (Mkristo+CHADEMA) anaamua kubeza Uislamu...wapi na wapi?!

By the way, mie sijasema kuwapinga Waislamu, nilichosema ni kuwabeza Waislamu! Mwenzangu wewe kiswahili umejifunzia wapi?! Ina maana kupinga na kubeza ni kitu kile kile?! Kama ufahamu vizuri, kubeza na kupinga ni vitu viwili tofauti na wala havishabihiani kwa namna yoyote yule!
 
Mbona harakati za waislam kudai haki zao inawauma sana wakristo??hivi mnataka waislam waendelee kuonewa tuuu!!!acheni wadai haki zao kwa maana MoU imewameza kwa mda mref sana,,waislam songeni mbele wakrst acheni chuki za udini na kutaka wenzenu waendelaa kuonewa,,
 
Labda tu nikuambie kitu kimoja.....nilishaacha kuchangia post hii baada ya kuona michanho mingi imekaa kidini dini....lakini utake usitake; hata ukianza kuangalia mwanzo wa hii thread unaweza kugundua ni kundi gani lilianza kudhihaki kundi lingine.....inawezekana ukaona taabu kupitia, lakini tumia akili ya kawaida! Thread inahusu Waislamu kuandamana, then there's no way Muislamu huyo huyo aanze kudhihaki hao waislamu wanaoandamana lakini possibly si ajabu kuona Mkristo akianza kudhihaki hao wanaoandamana. Kutokana na logic hiyo ndogo tu, ndipo utagundua kwamba ni baadhi ya Wakristo ndio walianza kuwadhihaki hao waislamu kwa maneno ya kejeli na ndipo ilipotokea waislamu nao kujibu mapigo kwani viwango vya ustahimilivu wanadamu tunatofautiana!

But all in all, ni kama nimepoteza muda kueleza yote hapo juu...labda zama kwenye post yako hapo nilipo-highlight na RED....umesema: "Na namba unijibu sincerely... Kuna watu kama akina Zomba ambao wanajulikana ni waislam na ni pro-ccm wamekuwa wakiwabeza chadema". Umesema wazi kwamba hao akina Zomba wanawabeza CHADEMA....!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Binafsi kama ingekuwa mnaibeza CCM, wala nisingeandika nilichoandika, lakini mnabeza Uislamu na Waislamu. Sasa ikiwa akina Zomba wao wanabeza CHADEMA, inakuwaje watu kama wewe mbeze Uislamu?! Sasa hapo ni nani anatakiwa kumshangaa mwenzake?! Mimi au wewe unaamua kuubeza Uislamu simply because akina Zomba wanaibeza CHADEMA? Kwani ni nani aliyekumbia hasimu wa CHADEMA ni Uislamu?! Hasimu wa Uislamu ni Ukristo, sasa ina maana unataka ku-conclude kwamba CHAdEMA ndo Ukristo?! Na bahati mzuri, sio kwamba ulijichanganya, kwani hata ukiangalia nilipo-highlight kwa BLUE, bado unasisitiza kwamba akina Zomba wanabeza CHADEMA....!!!! So, kwavile Zomba (CCM+Mwislamu) anaibeza CHADEMA, basi sweke 34 (Mkristo+CHADEMA) anaamua kubeza Uislamu...wapi na wapi?!

By the way, mie sijasema kuwapinga Waislamu, nilichosema ni kuwabeza Waislamu! Mwenzangu wewe kiswahili umejifunzia wapi?! Ina maana kupinga na kubeza ni kitu kile kile?! Kama ufahamu vizuri, kubeza na kupinga ni vitu viwili tofauti na wala havishabihiani kwa namna yoyote yule!
Mkuu hayo mambo ya kiswahili sijui kupinga kubeza ni kupoteza muda. Mimi sijataka ku conclude chadema ni ukristo. Ila hicho ndicho mnachotaka nyinyi kionekane miongoni mwa waislam. Chadema ni Ukristu.
Mkuu wangu mimi wala sitaki uji limit kwenye picha ya maandamano tu. Angalia mada mbalimbali humu ndani. Mfano hii hapo chini ya Zomba. Wewe unasema kuna baadhi ya pro-chadema wanakashifu maandamano hayo kwa kejeli...ukasema "Hali kama hii ndiyo inayowafanya baadhi ya Waislamu waamini kwamba CHADEMA ni kwa ajili ya watu fulani tu......inakuwa ngumu kuyapinga madai kama hayo hasa ukizingatia maoni ya Pro-CHADEMA."
Mimi ninachotaka kukuambia ni: Wapo waislam wanaobeza/kuukashifu nk ukristu ambao wambo ndani ya CCM. Hapo chini ni thread ya Zomba. Amelikashifu Kanisa pamoja na Chadema. Msingi wa hoja yake ni kanisa linaloleta vita.
quote_icon.png
By zomba

Leo asubuhi nilisikia kutoka Channel 10 kuwa imedhihirika kuwa Kanisa Katoliki ndio wanaowapa fedha CHADEMA.

Tunaposema hiki chama ni cha kidini, watu huwa wanakuja juu.

Tunaposema kuwa M4C = Movement for Christianity au renaissance, watu wanakuja juu.

Watanzania kuweni macho na hiki chama. Machafuko ya Rwanda yalianzishwa na kanisa, machafuko ya Tanzania yanaanzishwa na Kanisa kupitia CHADEMA na ushahidi ulisomwa leo kwenye channel 10.

Kanisa hilohilo Watanzania tunalichangia kujiendesha kwa MoU, Kanisa hilohilo linajiingiza kwenye siasa na kuwa ni wahongaji wakuu kwa CHADEMA na walisema kuwa msusi mkuu wa hili ni Dokta wa kanoni Slaa.

Njooni mseme ukweli wenu.
Kuna sehemu threads nyingi zomba na waislam wenzake wameubeza/kuukashifu nk ukristu
Turudi kwako. Wewe umesema hivi:
Hali kama hii ndiyo inayowafanya baadhi ya Waislamu waamini kwamba CHADEMA ni kwa ajili ya watu fulani tu......
Umesema hivyo kwa sababu kuna pro-cdm wanaoukashifu/kuwabeza Waislam na Uislam.
Mimi nakuambia usiangalie maandamano tu yanayokejeliwa...angalia picha kubwa ya mambo mbalimbali utaona wanachofanya baadhi ya pro-cdm kwa waislam na uislam ni kilekile wanachofanya baadhi ya pro-ccm kwa ukristu na wakristu, lakini ninaposema hivi , simaanishi chadema ni cha wakristu na ccm ni cha waislam...
Na ndiyo nikakutaka usiwe na double standards...kemea kotekote siyo ukibezwa Uislam/Waislam tu.
 
Good thinking!
yaani hawa jamaa kuvaa suti na tai basi wao washakuwa wamesoma zaidi kuliko sisi
kumbe usomi wenyewe wa kuchakachua tu

mie sijaona usomi wenu upo wapi
nchi yote mnaongoza nyinyi 'wasomi wetu' lakini leo ndio tupo hapa hatuna hizo chaki. hatuna madawa,hatuna maji safi,hatuna chochote cha maana..na hao wavaa tai na suti na kupangusa mavi kwa karatasi ndio wanaongosa serikaili hii kwa asilimia 90..kuanzia bungeni mpaka mawizarani
musijigambe hamja elimika bado
nakumbuka nilipokuwa chuoni, darasani sisi wavaa kanzu tulikuawa wa 4 na walobaki wavaaa tai na suti..na sisi tuliingia pale kwa diviion zetu 2 na 3 hawa jamaa walikuwa na division zao ya kwanza na pili
lakin i huko walikua rojo kichwani hamna kitu mpaka siku moja nakumbuka lecturer wetu mmoja wa law BAKER akawauliza nyinyi mmepata nini huko form six ..jamaa wakasema division ya kwanza ..Baker akawaambia hizo ni division za sunday school

habari ndio hiyo
 
Tatizo ni dogo sana hapa,harakati zinazofanywa na WAISLAMU, wakristo zinawauma kweli!!!!! kwa sasa tunasubiri kumfuata yule mama kule necta mfyonza pua za NGURUWE.
 
Mkuu hayo mambo ya kiswahili sijui kupinga kubeza ni kupoteza muda. Mimi sijataka ku conclude chadema ni ukristo. Ila hicho ndicho mnachotaka nyinyi kionekane miongoni mwa waislam. Chadema ni Ukristu.
Mkuu wangu mimi wala sitaki uji limit kwenye picha ya maandamano tu. Angalia mada mbalimbali humu ndani. Mfano hii hapo chini ya Zomba. Wewe unasema kuna baadhi ya pro-chadema wanakashifu maandamano hayo kwa kejeli...ukasema "Hali kama hii ndiyo inayowafanya baadhi ya Waislamu waamini kwamba CHADEMA ni kwa ajili ya watu fulani tu......inakuwa ngumu kuyapinga madai kama hayo hasa ukizingatia maoni ya Pro-CHADEMA."
Mimi ninachotaka kukuambia ni: Wapo waislam wanaobeza/kuukashifu nk ukristu ambao wambo ndani ya CCM. Hapo chini ni thread ya Zomba. Amelikashifu Kanisa pamoja na Chadema. Msingi wa hoja yake ni kanisa linaloleta vita.

Kuna sehemu threads nyingi zomba na waislam wenzake wameubeza/kuukashifu nk ukristu
Turudi kwako. Wewe umesema hivi:

Umesema hivyo kwa sababu kuna pro-cdm wanaoukashifu/kuwabeza Waislam na Uislam.
Mimi nakuambia usiangalie maandamano tu yanayokejeliwa...angalia picha kubwa ya mambo mbalimbali utaona wanachofanya baadhi ya pro-cdm kwa waislam na uislam ni kilekile wanachofanya baadhi ya pro-ccm kwa ukristu na wakristu, lakini ninaposema hivi , simaanishi chadema ni cha wakristu na ccm ni cha waislam...
Na ndiyo nikakutaka usiwe na double standards...kemea kotekote siyo ukibezwa Uislam/Waislam tu.

Bado upo nje ya kile ninachozungumza mimi......hoja yangu ni kukashifu Uislamu na sio dini moja kuihusisha na chama fulani cha siasa....jitahidi kuelewa hoja! Hizo post zote ulizo-quote kutoka kwa Zomba ni zile zinazohusisha CHADEMA na Ukristo na sio kukashifu Ukristo!!! Hapa wapo kibao wanaohusisha Uislamu na CCM, tht's not my concern; my concern ni kukashifu imani za watu; PERIOD!!!

That is one....lakini hata linapokuja suala la nyinyi kuhusisha Uislamu na CCM, bado kuhusisha kwenu huko kunaambatana na kejeli kama vile kusema Waislamu hawajasoma ndo maana wanaiunga mkono CCM, wapo wanaosema Waislamu wanapewa Ubwabwa na Pilau ili kuichagua CCM....mambo kama hayo ndo kashifa ninazozungumzia mimi ambazo wewe na wenzako ndizo base zenu.....!! Ajabu yenyewe, inaonekana ni kama mnajiangalia wenyewe ambao mmepata bahati hiyo kwani ni mtu mwenye uelewa finyu tu ndie anaweza kujigamba kwamba jamii yao wamesoma wakati kuna mamilioni kwa mamilioni ya watu wa jamii ile ile ambao hawajui A wala Be!
 
Najaribu tu kujiuliza, hivi hawa watu wanafanyaga kazi sa ngapi?
Tunaeza tu kila siku tunailaumu serikali yetu tukufu na sikivu kuhusu hili au lile ilhali tuna makundi kwa makundi ya njemba zisizojishughulisha na chochote kutwa nzima 24 x 7! Sasa kwa staili hii sidhani kama maendeleo yatakuja. Ifike mahali si tu watu walazimishwe kuhesabiwa, bali pia washurutishwe kufanya kazi!
 
Hii dhulma wanayopambana nayo Waislamu inafanywa na nani??
 
sio tu chadema hata ingekua ni wakristo wanaandamana wangepigwa mabomu..tumeshazoea kua waislam ni untouchables...wanajiamulia wanachotaka na serikali haiwagusi...ccm na serikali yake wameonyesha jinsi walivyo wadini...

Wakristo hawana sababu ya kuandamana ktk mfumo uliowapendelea kila kitu MK, wanamiliki majeshi kama ilivyo kwa majeshi ya nchi! pamoja na hayo ni wafuasi kunguru hata wakiitwa hawatatoka hivyo
 
Kama maandamano yaliyofanywa na Waislam kuelekea ofisi ya Mchimbi yamepelekea Waislamu waliogomea sensa kuachiwa ni dhahiri hawakuwa na kosa . Kwa sababu hiyo Dr. mchimbi anatakiwa ajiuzulu kwa kushindwa kazi la sivyo awaeleze Watanzania kama walikamatwa kimakosa au amewaogopa waislam. Katika historia ya nchi yetu na kwa kumbukumbu za karibuni sijawahi kuona maandamano kufanywa hadi makao makuu ya Jeshi la polisi huku polis wakisindikiza.

Huu ni udhaifu mkubwa wa serikali kwani kitu chochote kingeweza kutokea eti kisa waislam. Maandamana ya waislam yalikuwa violent kuliko ya CHADEMA huku wakitoa matamko ya kutishia amani ya dini na nchi kwa ujumla lakini wameachwa hadi kufika Makao makuu ya Polisi. Tunabaki na maswali mengi mno kuhusu implication na mesage behind ambayo JK anataka wawasio waislam tuipate.

Kama kweli hawa waislam waliogomea sensa walitenda kosa haikuwepo sababu ya kuwaachia kwa shinikizo la maandamano kwani next time wataandamana tena kutaka Malasusa au Kadinali Pengo aachie ngazi na serikali ika comply. Lazima serikali iangalie implication kwani hili nahesabu ni mmojawapo ya makosa yasiyo ya lazima na ya kizembe kabisa kuwahi fanywa na serikali ya JK. Naomba kama hawa Waislam walikamatwa kimakosa Waziri Mchimbi ajiuzulu kwa kusababisha uvunjivu wa amani kwa uwezo wake mdogo wa kutoweza kutofautisha lipi ni kosa na lipi siyo kwani nchi itayumba hii.

Uislamu ni uncomparable,NOT ONLY with CDM but with all ways of life , seemed unafanya kazi za Mfumo kristo ndani ya chadema. SO ulitaka waislamu wauliwe kama mlivyofanya Mwembechai? ndungu yangu not today! waislamu hawana haja na pengo na kanisa lake, usilete propaganda zenu za kuchoma makanisa wakati waislamu wanapinga muungano ili mpate sababu za kushamirisha mfumo kristo znz, you are late, njoo kivingine
 
Kwan hawakujua kuwa wakigoma kuhesabiwa watakamatwa..?? Hawakuijua hiyo sheria kabla?? Mbona ilitangazwa sana, au kwasababu walijifungia misikitini ndo mana hawakuisikia..!! Wanataka waachiwe huru kwa sheria ipi?? Kwanza hayo maandamano yana kibali/ wameruhusiwa?? Polisi hizo ndo sehem za kuchukua hatua kali, sio kule kwenye ufunguzi wa matawi..

CDM = CCM = mfumo kristo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom