Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 4,051
- 3,617
Huu ndiyo ujinga tunaousema kila siku. Sasa kama hao wakristu waliosaini mikataba ya kipuuzi wamejazana serikalini, wewe unafanya nini kubadilisha hali hiyo? Mimi ni mkristu lakini napigana juu chini kuleta mabadiliko ili kuuonda mfumo huu wa kifisadi bila kujali anayefanya ufisadi ni mkristu au muislam...wewe unafanya nini? Wewe na wenzako si ndiyo mnatukejeli sisi hapa kila siku kwamba ccm itatawala milele na chadema tulie tu? Huoni wewe unakuwa ndiyo mpuuzi wa mwisho kabisa kwa kuponda kitu kilele unachoshabikia? Hizi lawama zako unazipeleka kwa nani hasa wakati ni wewe mwenyewe na wenzako umewapa viongozi wa serikali ridhaa ya kusaini mikataba mibovu na ufisadi mwingine? Unamlaumu nani wewe?? Ndiyo maana wengine tunasema shule ni muhimu...Usikwepeshe mambo toka tupate uhuru Wakiristo ndio wamejaa karibia wizara zote za serikali mashirika ya umma, hata mikataba yote kipuu mibovu ya kuuza nchi, migodi ya dhahabu, Almasi, Ardhi, mabenki, yote imefanywa na wasomi wa Kikirsto ambao kila kukicha mnajitapa kuwa mmesoma.