Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 56,752
- 46,271
Wewe naona unadunda dunda kama kitenesi ,leo tunaongelea hoja za malamiko ya waislamu kama vile suala la sensa,ujenzi wa shule na hospitali zinazomilikiwa na dini,memerundum of understanding between Government and christians affliated organisations.masuala ya Dr Slaa na Lissu yanaingiaje hapa?Jifunze kujenga hoja na kama hauna hoja ni vema kukaa kimya!
Mkuu hii forum huru usiwafunge watu wala usiwachagulie maneno ya kuandika wapi mlikaa mkapanga Dr Slaa na Lissu wasiongelewe au wewe upendi kama upendi Slaa atajwe kaa pembeni.