Wakati najiunga Jf miaka ya nyuma kabla sijala BAN ya life nilikuwa na mawazo kama yako,nilikuwa mfuasi mzuri sana wa CDM nilitumia muda mwingi sana kuwabadili ndugu na marafiki kuniamini juu ya cdm kama sio chama cha udini na ukanda,lakini kadri nilivyokaa hapa jukwaani nikaona kiasi gani wafuasi,wapambe,na hata viongozi wa cdm kwa kauli zao juu ya imani yangu sio nzuri,nikagundua kabisa hiki ni chama cha aina gani na kinataka nini,nikajitoa kabisa kushabikia hiki chama na nikaanza kuwahamasisha rafiki zangu na jamaa zangu wajiandikishe JF kwa wingi ili wagundue nini kipo ndani ya chadema ukweli nimeshaunganisha member wengi sana hapa JF,na nitaendelea kuwahamasisha wajiunge jf ili wajionee ukweli wa udini wa cdm na chuki ya cdm juu ya jamii ya kiislam,JF imeipa umaarufu CDM na JF hii ndio itaimaliza CDM,tutakutaka 2015 mungu akipenda ndio tutajua kati yao na sisi nani wengi?