Sa ndo waue biashara
ya mwenzao si wangesaka njia nyingine za kupata soko.hatupandi bwana
wapande wenyewe na familia zao
Wewe ndo Marketing Manager wao ama Public Relations Manager wa hao "walipa kodi wakongwe"? Mbona makampuni meengi yananzishwa, hakuna wa kuwatetea wanaokutwa kwenye hizo biashara? Toa huduma nzuri utadumu kwenye biashara: ukilemaa utajua Scandinavian Express kaenda wapi!
Hawajui Dar express ni mchaga,biashara asili yake,hakyamungu sijawi ona mkweree akifanya biashara na akafanikiwa,kazi yao ni kutuuzia mafenesi na korosho pale chalinze miaka nenda rudi
akifanikiwa huyu niuweni
Naomba mawasiliano yao ili niwe wakala huku mkoani nilikoni kampuni ya usafirishaji wa abiria mikoani, imeshakamilisha ofisizake pale ubungo sheli, mahali zilipokuwa afisi za allys bus. kwa mujibu wa tangazo lao wanakwenda karibu destination zote nchini isipokuwa chache sana plus nairobi na kampala to mention the few. habari nilizozipata toka kwa mfanyakazi wa kampuni hiyo ni kuwa karibuni zitaingia basi 50 kwa kuanzia....My take: nahisi kuwa hii ndio kampuni inayohusishwa na mkuu wa kaya na hujuma dhidi ya kampuni kongwe na inayolipa kodi, dar express.source: mimi mwenyewe, mphamvu letsholonyane!
Hawajui Dar express ni mchaga,biashara asili yake,hakyamungu sijawi ona mkweree akifanya biashara na akafanikiwa,kazi yao ni kutuuzia mafenesi na korosho pale chalinze miaka nenda rudi
akifanikiwa huyu niuweni
Ama kweli kila mtu anajaribu kulinda maslahi yake, si nasikia Dar exp ndiyo kampuni pekee inayo ongoza kwa kusafirisha madawa ya kulevya sasa wanayoitetea wako upande upi?
kwani we hujui kuwa mimi ni mpambe nuksi a.k.a shabiki maandazi?una mori gani sasa buji?