Dar Lux kapotezwa?

Utafika mbali wanaoendelea ni wasio na mikopo unakuwa na real capital

Mawazo ya kimaskini. Hufiki mbali bila mikopo au some external investment be it investors, syndication, shareholders etc. Whatever you call it bado ni hela za watu na utawajibika kwao. Organizations kubwa kama Manchester United hadi banks zenyewe zina madeni ndo sembuse wewe? Madeni sio mabaya, kibaya ni matumizi. Wewe utadunduliza hadi lini kupata capital ya 10M USD?
 
Umesahau kutaja rangi ya Ngozi ya wamiliki wa basi tajwa. Na wote wapo mjengoni wakiteta na wafanya maamuzi katika Chama. Unategemea nn?
Hawa jamaa kwenye sekta ya usafirishaji wako na biz strategies nzuri sana.

Hata ukiangalia kwenye malori akina Kanji Lalji akina F.M Abri ni miaka na miaka wanakimbiza tu
 
Shabiby,Abood, super feo na New force wamejitahidi kudumu
 
Una akili za kivivu.
 
Dar Lux alimzurumu Mama mmoja nyumba yake hapo Mbezi beach walikua wanakopesha hela za Riba na weka dhamana baadae riba ikawa kubwa wakachukua nyumba na yeye Lux aliweka dhamana Bank na kukopea hela zilizofanya aweze kununua na kukopa baadhi ya magari enzi za Magu yule Mama alipolalamika hilo swala likafatiliwa mpaka mahakamani ikaonekana palikua na janja janja tu toka hapo wakaanza kupiga mnada bus zake moja baada ya ingine kuna muda mengine unakuta bus jipya lipo chini ya madarali wakilitangaza kuliuza bus ziliuzwa zikiwa safarini...
Nadhani kwa bus zilizouzwa kwa bei ndogo hizo ni mojawapo aisee..
Sasa matatizo kama haya watu wengine wakisikia fulani kashindwa biashara utasikia biashara ya Bus sio kabisa kumbe kuna vitu vipo chini ya carpet wazee...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…