Dar Lux kapotezwa?

Pesa ya basi katika laki kula elfu tano tu....nyingine tia bank...au uvunguni🙂
 
Biashara ya mabus sio biashara ya mwekezaji mzuri.
Ni biashara ya kuuzia sura kwa wapenda sifa.wapiga wa kodi zetu na watoa makafara kwao rahisi kupata damu.Au wakurupukaji baada ya kupiga madini au site.
Anaeiba Kodi zetu haoni uchungu kununua mabus au kuendesha bus Kwa Hela ya ofisi.
Ni kama zilivyo daladala nyingi ni za watumishi thus wakistaafu nazo zinapaki.
Hii ni biashara kichaa ya wabongo kuigana
 
Bus za kisasa,anaenda na mda ikiondoka kama imekodiwa na sio daladala,gari nyingi ikizingua dk sifuri nyingi ishakuja ingine kuwafaulisha,uzoefu wa biashara na sio umeuza madini huyo mbio mbio unamwaga mabus.

Waendelee kujifunza kwake maana sio vibaya kujifunza Kwa MTU mwenye uzoefu. Ila Mimi naona Abood yupo Update Kama usemavyo anajua wateja wake wanahitaji nini hana ajali za hovyo n.k
 
Kweli Kama Abood yupo ccm kimkakati ili Ku-stabilize biashara Zane the same MO alivyokuwa Ccm na wengineo
 
Jamaa alikuwa na convoy sio poa yenye Higer, Yutong, Zhongtong na Scania Polo na ofisi za kisasa

Wachina na Scania walimblacklist, changamoto ilikuwa marejesho

Ukiscroll up message #2 imefafanua vizuri sana
Ndo ya kupiga madini haya umepiga jiwe bilioni kadhaa bank statement ukienda kwa mchina na scania wanakupa business plan ya mabus ya kwenye makaratasi ukiingia field hali ni tofauti
 
Daah.... Shabiby kidume sana. Tangu nazaliwa yupo tu.

Naona Zuberi na Najmunisa nao washakufa.
 
Boss umelala nyumbani kwako unasubiri pesa toka kwa anjeti Pana dereva,konda,fundi, traffic, vehicle,mizani,stand,sumatra nk wote nao wanataka kujenga,kula,kunywa,kuhonga kwa pesa Toka Kwa gari yako hawakukusaidia mtaji,mtihani kweli kweli
 
Abood na Shabiby ndio wakongwe pekee waliobaki, zaidi ya miaka 25 kwenye game. Na wanazidi kushusha vyuma vipya. Wakongwe wengine wote walishatupa vitaulo
Umesahau kutaja rangi ya Ngozi ya wamiliki wa basi tajwa. Na wote wapo mjengoni wakiteta na wafanya maamuzi katika Chama. Unategemea nn?
 
Waendelee kujifunza kwake maana sio vibaya kujifunza Kwa MTU mwenye uzoefu. Ila Mimi naona Abood yupo Update Kama usemavyo anajua wateja wake wanahitaji nini hana ajali za hovyo n.k
Hana mpinzani Moro wa kumtoa hayupo,ana Dua la wazee wa kiluguru.
Islam alikuja kapotea kama atakavyopotea BM.
Abood yupo pale pale
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…