Hata boeing wakitengeneza ndege engine wananunua kwingine.Ni common sense tu, unadhani engine tumetengeneza?
Tufike mahala tujipongeze kwa hatua tunazopiga,Nina uhakika hiyo meli imeundwa kwa 70% Tanzania kitu ambacho miaka mitatu nyuma kisingewezekana,ingepigwa dili ikaletewa kivukochakavu tena kwa bei ya juu